Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
RIP my CHILDHOOD HERO...
Wrote from Anfield...!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP my CHILDHOOD HERO...
Hizi katuni sio za watoto tu hata mimi huwa naingia kabisa youtube kuziangaliaga
Huko tulishatoka mkuu mambo yako videomate ma videoorder
Hahahah siwezi sahau mzee, akishaonekana yule simba tu natafta mkao mzuri kabisa, by that time nilikuwa Moro. Abood television ndio alikuwa anarusha zile episodes za Tom & Jerry kila saa 10 jioni ikifika. Tom in Texas ndio ilikuwaga hatari sana🤣🤣🤣Na mimi najua creator wa tom&jerry ni Hanna na Barbera huku producer wao akiwa Quimby (zamani nikijua ni Zuimby kwa namna Q ilivyokuwa ikiandikwa. Kama sio hawa basi mchango wao ni mkubwa kuliko mtu yeyote kwenye hii cartoon.
Unakumbuka wakati inaanza yule Simba wa Metro Goldwyn Mayer alivyokuwa ananguruma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwanza ndo alizipatia sijui ndo nani kati yao,sasa hivi kuna hadi Mr.Bean tom and Jerry zinaboa sana
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
William hanna n josee barbera km sjakosea..Hanna & Babera ndio walizipatia wakishirikiana na award winning producer Fred Clinton Quimby.
Unaweza kuwa mkubwa mwili na umri ila akili Ni ya kitoto,Sina hakika Kama inakuhusu we lakini.Hizi katuni sio za watoto tu hata mimi huwa naingia kabisa youtube kuziangaliaga
Abood ya kina abeid Dogoli na mzee Karim BestaHahahah siwezi sahau mzee, akishaonekana yule simba tu natafta mkao mzuri kabisa, by that time nilikuwa Moro. Abood television ndio alikuwa anarusha zile episodes za Tom & Jerry kila saa 10 jioni ikifika. Tom in Texas ndio ilikuwaga hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndugu zangu wale usiwaite hivyo.Hivyo vikaragosi vinanifurahisha sana, huyo mtu ni mbunifu hakika, R.I.P
Hii shule kama naipata hivi ilikua Bar kwenye ile njia kama unaenda Kidagaa kutokea main road(kituo cha daladala kwenda mjini) Kwa Lulenge kuna wakina mama wa Kikurya wanauzaga mboga mboga za majani,ndo penyewe?
Hii shule kama naipata hivi ilikua Bar kwenye ile njia kama unaenda Kidagaa kutokea main road(kituo cha daladala kwenda mjini) Kwa Lulenge kuna wakina mama wa Kikurya wanauzaga mboga mboga za majani,ndo penyewe?