R.I.P Gene Deitch (creator of Tom and Jerry)

Katika episodes zote episode waliyozingua ni ile ya mwisho inayoitwa "Blue Cat Blues" 1956, Tom alikuwa depressed sababu demu wake alikua gold digger so hakumpenda Tom kwa hali yake akampenda butch (jamaa mwenye pesa) ,Tom kuona hivyo akaamua ku-commit suicide kwa kwenda kukaa kwenye njia ya reli.. ile episode haikupaswa kuwepo kabisa kwa watoto.
 
Kuna moja Tom aliangukiwa na kabati ktk mishe zake, Akafa sasa mbinguni kuna geti na malaika anakuonesha njia either ya motoni, akataka aingie kimagumashi mbinguni..akakamwatwa

Akaambiwa Wewe ni wa motoni na salama yako labda urudi duniani umuombe jerry msamaha, akapewa na hati kama akisamehewa jerry aisign. Utamu wake sasa katika kumshawishi jerry asign ile hati huku muda aliopewa ukizidi kuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa "Heaven Puss", ile episode inafundisha sana na inaogopesha kiaina
 
Kwanza nahisi watoto huwa wanacheka tu zile action za kikatuni lakini ili uzielewe lazima uwe na akili timamu, huyu jamaa katumia akili kubwa sana.
+1
kuna scene moja mbwa alikuwa anamfundisha mwanae adulthood tc , sasa akati anachoma nyama , moshi ukampalia. ili kumzuga mwanae akwambia , "you need hickory smoke , for flavour son, " anamwambia mwanae hivyo macho mekundu huku anatoa machozi.
inafundisha ni jinsi gani watu wazima hawapendi kuonekana wameshindwa jambo .mbele ya watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mniambie the best kuliko zote ni ipi niicheki kisha nitaleta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom