Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
R.I.P BrotherNi vigumu kuamini Kama umetutoka rafiki yangu kipenzi Hamis Nyinza
Alisoma shule ya msingi UJIRANI iliyopo Kilombero alihitimu mwaka 2009.
Kisha akajiunga na elimu ya sekondari shule ya IWEMBA na kuhitimu 2013.
Amefariki jana asubuhi tarehe 25.09.2017.
Pumzika kwa amani Hamis Nyinza.
Mbele yako nyuma yet.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina la bwana lihidimiwe.
Amini.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
NI WA HUMU JF?