Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Ukiachana na dhumuni la mleta huu uzi,nimeshangaa jambo moja hapo "tuifikirie jehanam ambayo kesho yetu"we mleta uzi jisemee mwenyewe pmbv,unajua maana ya jehanam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe nahisi ndo mpuuzi hili ni jukwaa na jokes,ulitaka aandike jokes gani za msingi???Ni upuuzi tu jaribu kuandika mambo ya msingi ndugu
Yaani kabla sijaingia kwenye uzi hiyo heading tuu kijasho kilianza kunitoka!!!Hakika tukae tukijifunza kwamba uhai sio wetu na tuifikirie jehanam ambayo ndio kesho yetu.....
R. I. P. JOTI....
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi
Kuna kitabu kimoja nilikua nakisoma hapa kinaitwa "KILIO CHETU"
Sasa kuna dogo anaitwa Joti ambae ndo mhusika mkuu katika hadithi hii amekufa.
Hii hadithi inasikitisha sana aisee
Mtu na akili zake, hajui vipi vya masihara na vitu gani sio vya masihara! (Ndo naamini Tanzania ina wagonjwa wa akili 400,000+)kweli Tanzania vichaa wameongezeka no comment.
swissme
Tayari nilishasogeza simu nianze kutoa taarifa ili niwe wa kwanza kuwahabarisha ndugu na jamaa zanguthe the the teheeeeee..... Mpinzani nini. Alivyo andika kiupinziupinzi. Usipo kuwa makini utaanza kueneza kilio chako mtaani
Kwani upo Jukwaa gani?Moderator futa hii topic ya kizushi
Tehe tehe tehe kaifikiria ile story ya kwenye kitabuWatu bana..sijui kafikiria nini huyu jamaa