R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

Ukiachana na dhumuni la mleta huu uzi,nimeshangaa jambo moja hapo "tuifikirie jehanam ambayo kesho yetu"we mleta uzi jisemee mwenyewe pmbv,unajua maana ya jehanam?
 
Shule zimefunguliwa hebu nenda shule. Ulijua kabisa kwamba watu watajua ni yule wa vichekesho!
 
Yaani kabla sijaingia kwenye uzi hiyo heading tuu kijasho kilianza kunitoka!!!
 
the the the teheeeeee..... Mpinzani nini. Alivyo andika kiupinziupinzi. Usipo kuwa makini utaanza kueneza kilio chako mtaani
 
Mkuu unajiandaa kujibu mtihani mwezi novemba..?
 
kweli Tanzania vichaa wameongezeka no comment.


swissme
Mtu na akili zake, hajui vipi vya masihara na vitu gani sio vya masihara! (Ndo naamini Tanzania ina wagonjwa wa akili 400,000+)
 
Mfukoni zimepungua ndio maana wanaandika ovyo
 
Hahahahaaa nilipatwa na kigugumizi kufua huu uzi...daah Joti yule wa kwenye stori kumbe Mungu nisamehe
 
the the the teheeeeee..... Mpinzani nini. Alivyo andika kiupinziupinzi. Usipo kuwa makini utaanza kueneza kilio chako mtaani
Tayari nilishasogeza simu nianze kutoa taarifa ili niwe wa kwanza kuwahabarisha ndugu na jamaa zangu
 
Mleta mada hana kosa tatizo ni wasomaji wanapenda kuleta mawazo yao kwenye ishu ambsyo sio yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…