Satoote kwako mkuuUmetisha mdau. Watanzania mpende kusoma. Unapofungua thread soma tarehe mwezi na mwaka wa hiyo topic na kisha pima kama ina make sense to add a comment(unakuta li mtu lina comment topic ya mwaka 2008 ambayo si endelevu au haihitajiki comments kwa sababu tu ya kutosoma tarehe au kuwa na akili za ndorobo). Kisha pia angalia topic ipo ktk forum gani juu kabisa, na tambua username ya mwanzisha uzidi kisha endelea.
nini tena?Shenzi wewe🙁