vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Jiongeze we kenge usilete mambo ya instagram humu....Unawatia aibu wa mikoani wenzioNAUZA DECODAR YA ZUKU BEI MAELEWANO MWENYE KUITAJI ANICHEKI HAPA 0764-755730 AU 0715-755730 NIPO MWANZA
[emoji16]...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .
kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
uandishi wa mwendokasi...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .
kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
Kwa maana hiyo nusu ya Watanzania ni vichaa?Naona tunapoenda ule utafiti ni kati ya watu wawili mmoja ni kichaa
Sasa mama kwa uzi kama huu unafikiria ni uongo ?Kwa maana hiyo nusu ya Watanzania ni vichaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
aiseeSasa mama kwa uzi kama huu unafikiria ni uongo ?
Mpaka mwakani January sijui hali itakuaje maana na mimi naona kabisa naelekea kwenye ukichaa
angetumia kinga yule dogo.R.I.P Joti
Tatizo alikuwa alijihusisha na mahusiano ya kingono na wasichana wengi, akiwemo Suzi, Chausiku, gileida nk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mama kwa uzi kama huu unafikiria ni uongo ?
Mpaka mwakani January sijui hali itakuaje maana na mimi naona kabisa naelekea kwenye ukichaa
HawaweziMods walivyo na kiherehere eti watafuta huu uzi na kukupiga ban![emoji1]
kweli Tanzania vichaa wameongezeka no comment.
swissme
RipHakika tukae tukijifunza kwamba uhai sio wetu na tuifikirie jehanam ambayo ndio kesho yetu.....
R. I. P. JOTI....
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi
Kuna kitabu kimoja nilikua nakisoma hapa kinaitwa "KILIO CHETU"
Sasa kuna dogo anaitwa Joti ambae ndo mhusika mkuu katika hadithi hii amekufa.
Hii hadithi inasikitisha sana aisee