R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .

kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
[emoji16]
 
uandishi wa mwendokasi
 
Sasa mama kwa uzi kama huu unafikiria ni uongo ?

Mpaka mwakani January sijui hali itakuaje maana na mimi naona kabisa naelekea kwenye ukichaa
aisee
stuck_out_tongue_closed_eyes.png
 
R.I.P Joti
Tatizo alikuwa alijihusisha na mahusiano ya kingono na wasichana wengi, akiwemo Suzi, Chausiku, gileida nk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
R.I.P Joti
Tatizo alikuwa alijihusisha na mahusiano ya kingono na wasichana wengi, akiwemo Suzi, Chausiku, gileida nk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
angetumia kinga yule dogo.
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Hakika tukae tukijifunza kwamba uhai sio wetu na tuifikirie jehanam ambayo ndio kesho yetu.....
R. I. P. JOTI....
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi
Kuna kitabu kimoja nilikua nakisoma hapa kinaitwa "KILIO CHETU"
Sasa kuna dogo anaitwa Joti ambae ndo mhusika mkuu katika hadithi hii amekufa.
Hii hadithi inasikitisha sana aisee
Rip
 
Back
Top Bottom