Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ule upuuzi wa mchonga ulio wafanya mkimbie nchi yenu mliozaliwa na kukimbilia mataifa ya nje bado upo hauja koma.
Upuuzi alio asisi mchonga meno kwa wale walio mpinga na kupinga ideas zake kwa kupachikiwa kesi za kijinga kijinga za uhaini bado unaendelezwa.
Hii nchi ni ya wote sio mtawala pekee inabidi tuwe tayari kupongezwa na kupingwa muda wowote kwa sababu sisi ni watumishi wa umma kama hatutaki kukosolewa na kupingwa ni heri kuondoka haraka sana katika nafasi tunazo shika na kubaki majumbani kwetu hakuna atakaye tufuatilia huko.
R.I.P BIBI TITI MOHAMMED
R.I.P OSCAR KAMBONA