R.I.P Oscar Kambona, Bibi Titi Mohammed ule upuuzi bado unaendelezwa

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Ule upuuzi wa mchonga ulio wafanya mkimbie nchi yenu mliozaliwa na kukimbilia mataifa ya nje bado upo hauja koma.

Upuuzi alio asisi mchonga meno kwa wale walio mpinga na kupinga ideas zake kwa kupachikiwa kesi za kijinga kijinga za uhaini bado unaendelezwa.

Hii nchi ni ya wote sio mtawala pekee inabidi tuwe tayari kupongezwa na kupingwa muda wowote kwa sababu sisi ni watumishi wa umma kama hatutaki kukosolewa na kupingwa ni heri kuondoka haraka sana katika nafasi tunazo shika na kubaki majumbani kwetu hakuna atakaye tufuatilia huko.

R.I.P BIBI TITI MOHAMMED

R.I.P OSCAR KAMBONA
 
Tunatakiwa tuanze tena kudai Uhuru kama tulivyofanya miaka ya 50 hadi 60.Tutumie mbinu zote za kudai Uhuru wetu na ikiwezekana kufanya maandamano yasiyo na kikomo au mapinduzi kama Niger.
 
Tunatakiwa tuanze tena kudai Uhuru kama tulivyofanya miaka ya 50 hadi 60.Tutumie mbinu zote za kudai Uhuru wetu na ikiwezekana kufanya maandamano yasiyo na kikomo au mapinduzi kama Niger.
Bongo haikuwahi kuwa huru toka mwanzo.
 
Mi nashauri ukijua huyu ni mke au mtoto wa polisi au ni mwana ccm au watu wa mahakama ni kuwawekea sumu kwenye migahawa au bar mpaka waanze kujifungia makwao
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hivi wale watu wanaitwa mafundi wa kuwashusha mshipa waovu hawawezi kushusha mshipa cabinet nzima?
Imagine baraza zima linaugua mabusha na wote wanavaa misuli mchana kutwa mnadhani wataacha kuheshimu maamuzi ya watu?
Kuanzia Khasimu hadi manaibu wote busha!
 
Haaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…