Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah... shukran bosi....tabu ya kukulia kijijini hii [emoji41]Mkuu hapo zamani wakati inaanza kuingia sokoni..mifuko hii ilikuwa na picha ya Silvester Stallone aka Rambo wakati huo yuko juu na sinema zake za kivita.