Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma rambirambi
Huyu bwana ndiye yuko kwenye tangazo akitamani kuwa na Batuli?
Wewe pako tayari ushachagua? Kwa kauli hizi natamani na wewe ufe kesho uende ulipopachagua.
huyu kijana alikuwa muislamu huyu?
Aamyna inshaallah mungu atawaafu wafiwa na kuwapa tahfif kipindi hiki kigumu kwao ahad ake ilifika
Hivi ni tangazo gani tena nikumbushe plz
Amin Amin Mrs ake mimi
huu ukimwi noma sana
Jamaa alikuwa amelazwa kama mwezi mmoja hiv umepita, Ila imani za kishirikina nazo zimechangia coz kuna mda flan alikuwa kwa mganga wa kienyeji akapata nafuu akarud Dar ndipo hali ilipobadilika na kupelekea kurud nyumban kwao Mtama na kulazwa Nyangao.