R.I.P Side Boy Mnyamwezi

Inna lillahi wainna ilaihi raajiun....Allahuma ghufir'lahu warhamhu, waskinhu fil jannat...!
 
Wewe pako tayari ushachagua? Kwa kauli hizi natamani na wewe ufe kesho uende ulipopachagua.

Ingekuwa kufa kwaja kwa wewe tu kutamani, basi ningekuomba utamani panya wanaonisumbua humu ndani kwangu wafe...
 
Acheni marumbano ya kipuuzi kwani hapa si mahala pake na sio muda wake... Kifo cha mwenzio ni darasa tosha kwako wewe unaepumua leo...
 
r.i.p mtanzania mwenzetu,jf leo mmekuwa wapole,maana kuna watu huwa wana maswali kama waganga
 
Jamaa alikuwa amelazwa kama mwezi mmoja hiv umepita, Ila imani za kishirikina nazo zimechangia coz kuna mda flan alikuwa kwa mganga wa kienyeji akapata nafuu akarud Dar ndipo hali ilipobadilika na kupelekea kurud nyumban kwao Mtama na kulazwa Nyangao.
 
huu ukimwi noma sana


Apepe Side Mnyamwezi,Ebu fungukeni zaidi alikuwa anasumbuliwa na nini hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…