R.I.P Side Boy Mnyamwezi

Kikubwa ambacho alikuwa anasumbuliwa ni kifua kwa 7bu kama ngoma alishapima na hakuwa nayo mpaka ndg zake wakaamua kumpeleka kwa waganga wa Kienyeji akapata nafuu akarud kupga mbishe Dar bt afta 3 weeks hali ikabadilika ndipo aliporud hosp ambako walishindwa. Aisee jamaa aliisha sana msos ulikuwa haupand kabisa, Mazishi trh 30/09 saa kumi jioni.
 
we jamaa akili yako yafikiria udini udini tu ni shida sana we jamaa...

Shida kujua dini ya mtu?nimetaka kujua dini gani kwanza kusikitika sitawahi mazishi yake huko nanyamba maana waislamu wanazika haraka haraka kukwepa gharama za kuhudumia waombolezaji pili amekufa bila kushuhudia mahakama ya kaaaaadhi...sasa udini wangu uko wapi ?
 

Thanks for info. RIP Side Boy .......
 

Hujui ulifanyalo Allah akuongoze
 

kiroba si kizuri kabisa
 

kigogo mchokozi wewe......yaani umefanya nimecheka wakati tuna msiba.......
 
kwani huyu ndiye yule pedeshee side mnyamwezi au majina tu?
 
Hatimae marehemu Saidi apata nyumba yake ya milele baada ya shughuli za mazishi kukamilika sasa hiv kijijin kwao Mtama-Lindi.
 
Hatimae marehemu Saidi apata nyumba yake ya milele baada ya shughuli za mazishi kukamilika sasa hiv kijijin kwao Mtama-Lindi.

Kuna Tangazo la Serengeti Beer ni yeye aliyefanya au wamefanana tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…