R Kelly akiri kushiriki Ngono na Msanii mwenzake Marehemu Aaliyah akiwa na umri wa Utoto

R Kelly akiri kushiriki Ngono na Msanii mwenzake Marehemu Aaliyah akiwa na umri wa Utoto

Kwa matendo ya R Kelly sio kifungo wala adhabu ya kifo inamfaa

Wazazi wenye wamezaa watoto wakawalea wanaelewa mtoto wa 14 15yrs anafananaje

Kwa matendo ya R Kelly sio kifungo wala adhabu ya kifo inamfaa

Wazazi wenye wamezaa watoto wakawalea wanaelewa mtoto wa 14 15yrs anafananaje

Binti mwenyewe alisema "umri si kitu bali ni tarakimu tu". Sisi ni Nani tushoboke wakati " Mliwaji" alitushushua?
 
So watasha wameamua R Kelly wangu afie jela?[emoji22][emoji22]

Mambo ya Aaliyah marehemu yanaingiaje hapa
 
Watu weusi wengi wakishika hela huwa akili zinawaenda mbio. Mi sijawahiona wasanii wazungu au wazungu matajiri wameshika shika hela na kutamba nazo.
Baadaye kiburi cha hizi hela kikibackfire ndio utasikia tunabaguliwa.
Wazungu wanajua kulindana
 
Watu weusi wengi wakishika hela huwa akili zinawaenda mbio. Mi sijawahiona wasanii wazungu au wazungu matajiri wameshika shika hela na kutamba nazo.
Baadaye kiburi cha hizi hela kikibackfire ndio utasikia tunabaguliwa.
Shida cc watu weusi.ndio tuna penda kuangushana. Sio.km wazungu hawafanyiani mambo kama ya r kelly tatzo cc watu weusi angalia hata ndoa za mastar weusi always kupelekana kwenye mahakama masuala ya kifamilia kwao ndio jadi. Lakn wazungu hawafanyi hivyo. Binti wa kiafrika anatongozwa vzr anakubali anaitwa ili wafanye yao anaenda mahakamani ooh nimenyanyaswa kimapenzi sijui nimedhulumiwa nk.ili alipwe mamillions ya mwenzie bure bure aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani sheria ya umri wa mtu mzima iangaliwe upya. Maana watu miaka 15 tayari washapevuka wanahimili minyanduano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom