R. Kelly anaweza akawa ana matatizo ya kingono!

Inaonekana ana mzuka na watoto wadogo wadogo,akikaa karibu na mtoto mchanga anamla..
 
R kelly ana fantasy na vitoto vidogo yaani hayuko sawa kichwani maana alimuoa aliyah akiwa 15 yrs. Ikabidi ndoa ivunjwe mara kashfa ya video akiwalamba watoto underage mmoja wa watoto hao 13 yrs her own God daugther
This guy is crazy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni msanii mmoja wapo ambaye namkubali sana ever since aisee

Ila hizo tabia zake hapana aisee
 
As long as visichana vyenyewe vipo happy tu, tena vinatoka hadharani kuwaambia wazazi wao wavikomee maana vinajua exactly vitu wanavyofanya, acha mzee mzima aendelee kufanya yake. Hakuna namna. Hakuna hata mmoja aliyepigwa pingu pale and I guess the girls are free to move on if they decide to do so.
 
Yep, R .Kelly ana matatizo ya kisaikolojia, nasikia alipokuwa mdogo alikuwa abused na baba yake aliyekuwa na matatizo ya ulevi na ikamuharibu hadi leo
 


Mwanamuziki wa mtindo wa R&B R Kelly amekana madai kwamba anawazuia wanawake kadhaa katika dhehebu lake analotumia kuwanyanyasa.

Wakili wa mwanamuziki huyo alisema kuwa atatumia kila njia kuhakikisha kuwa wale wanaomtuhumu anawakabili kisheria ili kusafisha jina lake.

Ripoti ya BUzzFeed imemtuhumu mwanamuziki huyo kwa kuwabadili kimawazo wanawake walio karibu naye kwa lengo la kuimarisha usanii wao wa muziki.

Kelly tayari amewahi kukabiliwa na tuhuma za dhulma za kingono lakini hakupatikana na hatia.

Amekana kufanya makosa yoyote.

Ripoti hiyo iliowanukuu wazazi watatu inasema kuwa hawajawasiliana na wanao kwa miezi kadhaa ,na kwamba wanawake hao wote wakiwa na umri wa zaidi ya miaka 18 walikuwa wakidhibitiwa na msanii huyo.

Udhibiti huo unashirikisha chakula wanachokula na nguo wanazovaa ,wakati gani wa kuoga na kulala mbali na kufanya tendo la ngono yote hayo yakirekodiwa na msanii huyo.

Wanachama watatu walio karibu na mwanamuziki huyo pia walihojiwa na kusema kuwa wanawake sita wanaishi katika nyumba zinazosimamiwa na msanii huyo.

Iwapo watavunja sheria, wanasema wanawake hao huadhibiwa kwa kupigwa mbali na kutukanwa na msanii huyo kulingana na ripoti hiyo.

Baadhi ya wazazi wao wameripoti wasiwasi kwa polisi, lakini wanawake hao wanasema kuwa wamekubali kuishi katika nyumba hizo.

Wakili wa msanii huyo Linda Mesch alisema: Robert Kelly ameshangazwa na kukerwa kuhusu madai hayo mapya anayodai kutekeleza.

Chanzo: BBC swahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…