Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
40 yake ishapita now yupo 49[emoji38][emoji38][emoji38]. Na kama alichomoka ile ya kwanza then hii hawamfungi
49 bado yupo na under 18?? Kweli Rkelly ni jipu,ataingia 18 tu atafungwa hyu.40 yake ishapita now yupo 49[emoji38][emoji38][emoji38]. Na kama alichomoka ile ya kwanza then hii hawamfungi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pote kivip ww .....ina maana mtandao pendwa kwako normal sioYap tena pote
Ni kweli, Alikuwa abusedhivi hana mke ? akatibiwe huenda kuna chanzo cha haya anayofanya may be alikuwa abused utotoni
hii ndo tatizo yake sasaNi kweli, Alikuwa abused
R&B wiki hii imekubwa na kashfa Usher nae la.kwake limeibuliwa huko alimpa mtu gonjwa la zinaa
Sent using Jamii Forums mobile app