Rekebisha mwaka kwenye headingUnaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78!
Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 9 ikiwemo mashtaka ya unyanyasaji wa kingono, ulaghai, biashara ya ngono na usafiri wa biashara za binadamu (Wanawake na wasichana).
Mwaka 2045 utakuwa na miaka mingapi?
Aliua sana. na kuna ile ya fiesta remix wakiwa na jigga..?The Storm is Not Over Now
Kipenzi Changu. Enheee. Haya hiyo (🤔) ya nini sasa?Duuh! Pole kwake.
Mi nitakuwa ndo nakaribia kuingia kwenye utu uzima ule wenyewe wenyewe.
Huo mwaka nitakuwa nakaribia kustaafu halafu wewe ndio unaingia utu uzima. Kumbe ilitakiwa wewe gari zima uwe unanisukuma mimi gari bovu
Natamani wauaji wa Watanganyika watoke gerezani 2090 pindi wakihukumiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu juu ya mambo ya mo29.Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78!
Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 9 ikiwemo mashtaka ya unyanyasaji wa kingono, ulaghai, biashara ya ngono na usafiri wa biashara za binadamu (Wanawake na wasichana).
Mwaka 2045 utakuwa na miaka mingapi?
Hahahaaa. Lol.Huo mwaka nitakuwa nakaribia kustaafu halafu wewe ndio unaingia utu uzima. Kumbe ilitakiwa wewe gari zima uwe unanisukuma mimi gari bovu
Miaka 19 ijayo utakuwa tayari ushadanja?Mwaka 20245?????? nan atakuwepo dunia hii ndugu