R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

Waafrika tuna tatizo.
Huyu jamaa hizi habari zipo kitambo na kuna habari ya kumuoa Aliyah akiwa under age hadi kabinti kakaimba age aint nothing but a number.
Uzuri kwa wenzetu hata uwe ulitenda kosa ukiwa kijana linaweza kukufunga uzeeni.
Napenda sana mangoma yake ila ndo sheria imechukua mkondo wake hakuna cha ubaguzi wa rangi wala nini.
Hii sheria ni kali, unamkumbuka yule bilionea ambaye alikuwa ni influence kubwa sana na alikuwa na ukaribu na prince wa Uingereza? Alikuwa anamtumia ex wake kumletea vidosho under age naye yalimkuta ya Rkelly akakamatwa akajinyonga akiwa gerezani, ila kuna taarifa zinasema kuwa aliuawa kwasababu alikuwa karibu sana na vigogo kama akina bill gates, húyo prince wa Uingereza na wanasiasa ambao pia inasemekana alikuwa akiwapa hao vidosho walale nao kwenye ndege yake.
Jamaa siku mbili kabla ya kujinyonga alidonate mali zake zote nje ya marekani ili wanaomshtaki wakishinda wasipate fidia kutoka kwake.
Jumba bovu likamwangukia ex wale ambaye ananyea debe now.
Sex with minors ni kesi kubwa sana kwao. Hata Akili the brain kuna kipindi alidakwa Marekani kwa issue kama hii sijui alichomoka vipi
 
Kwa hiyo point yako ni kwamba mtu mashuhuri akishitakiwa kwa uharifu ni mambl ya devil worshipers au sio?
Haijalishi ni maarufu au tajiri kila mtu anaweza tenda kosa na akafungwa.
Na Marekani haijalishi ulifanya kosa lini, ishahidi ukipatikana hata una miaka 90 utashitakiwa tu.
Kama wewe ni mtazamajiwa IDx utaona watu walitenda kosa miaka ya 80, 90 wanakuja kufungwa miaka ya 2000 wakiwa wana wajukuu na washasahau kuhusu hilo
 
Watu weusi wengi Tabia za ubakaji na ulawiti ni kawaida , na hata huyo Michael Jackson mwenyewe alikuwa mbakaji ,Bill Cosby na huyu R Kelly
Weupe hawabaki sio..

R kelly kumtetea ni ngumu maana issue ya Allaah ndio inamuanika ila MJ nimefuatilia documentaries zote na zina walakini, watu wanajitokeza wakati jamaa kashafariki huku wanadai millions of dollars kama fidia
 
Unaachana na uhalisia unashikilia imani kwenye jambo la uhalisia.
 
Tafut Tafuta documentary moja hivi inaitwa Surviving R. Kelly ndipo utajua ushenzi wa huyo nguli wako.
 
Hizi ndio story mnazopenda wabongo, yaani ubuyu kama mnavyouita wenyewe, mnaupenda sana.
 
Kwa hiyo Jay Z n beyonce wataishi milele ?

Akili nyingine bwana zinasikitisha sana.
 
Watu weusi wengi Tabia za ubakaji na ulawiti ni kawaida , na hata huyo Michael Jackson mwenyewe alikuwa mbakaji ,Bill Cosby na huyu R Kelly
We are grown in a lawless society hadi tunaona uvunjwaji wa haki za watoto ni jambo la kawaida tu.
 
Huyo ni Jeffrey Epstein. Amesababisha Prince Andrew kuvuliwa vyeo vyake vyote kama mtoto wa Malkia wa Uingereza. Uhusiano wake na Bill Gates ndiyo umesababisha Belinda Gates kudivorce na mume wake.
 
Huyo ni Jeffrey Epstein. Amesababisha Prince Andrew kuvuliwa vyeo vyake vyote kama mtoto wa Malkia wa Uingereza. Uhusiano wake na Bill Gates ndiyo umesababisha Belinda Gates kudivorce na mume wake.
Yah huyo huyo jamaa
 
Napenda sana channel ya ID. Tena wengi waliofanya makosa miaka ya 70 hadi 90 mwanzoni walikuja kukamatwa baada ya sayansi ya DNA kuanza kutumika. Wenzetu wanatunza vidhibiti kwa miaka mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…