R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.
Tupia uthibitisho wowote. Na je R.Kelly ni Rapa?
 
Alipewa umaarufu na shetani SAsa akataka kumkimbia shetani, akaliwa kichwa. Hela ya shetani haiendi bure. Upewe kesi, uuliwe, ufungwe. Ukiamua kuwa kwa shetani kaa jumla kama Jay z na mkewe, ukianza mguu ndani mguu nje yaani kwa shetani upo na kwa Mungu upo lazima yakupate yaliyowapata kina bob marley, tupac, big small, kobe bryant, Aaliyah, left eye, dmx, michael jackson, witness houston and more.
Wanamlia timing Justin Bieber.
Ebanae...hata witness houston😀
Hizi ni siri kali ila sisi tunazijua
 
Ebanae...hata witness houston😀
Hizi ni siri kali ila sisi tunazijua
Fanya tafiti KILA ikikaribia tuzo za grammy awards ni lazima wamtoe mtu kafara,wengi wao huwa ni wale waliokiuka mikataba.Ukiingia kwa shetani umeingia kutoka au kutaka kutoka adhabu yake kifo.
Lakini zipo mbinu za kutoka na ukawashinda hao wapumbavu na wasikufanye kitu.
 
Dah we jamaa muongo sana.
 
Ebanae...hata witness houston[emoji3]
Hizi ni siri kali ila sisi tunazijua
Whitney Houston (sio Witness), alikufa baada ya kuzama kwenye sinki la kuogea kutokana na kuzidiwa na madawa ya kulevya, tatizo lake ambalo lilikuwa well documented. Acheni uzushi wenu!
 
Fanya tafiti KILA ikikaribia tuzo za grammy awards ni lazima wamtoe mtu kafara,wengi wao huwa ni wale waliokiuka mikataba.Ukiingia kwa shetani umeingia kutoka au kutaka kutoka adhabu yake kifo.
Lakini zipo mbinu za kutoka na ukawashinda hao wapumbavu na wasikufanye kitu.
Kufatilia Kwa sasa ni ngumu sana, kama hutojali inaonekana wewe unafahamu hao watu waliotolewa kafara tuzo za Grammy zinapokaribia

Nimekuwa mfuasi wa ufatiliaji wa utoaji wa hizi tuzo Kwa miaka kadhaa, Naomba unitoe tongo tongo tu angalau Kwa watu wa 5 tu ambao walitolewa kafara tuzo za Grammy zinapokaribia

najua mara nyingi hutolewa mwezi February ispokuwa mwaka huu ambao walitoa April, hebu tuanzie Kwa mtu alietolewa kafara Kwa mwaka huu kurudi nyuma miaka 5 mkuu
 
Akikujibu unitag.
 
Alipewa umaarufu na shetani SAsa akataka kumkimbia shetani, akaliwa kichwa. Hela ya shetani haiendi bure. Upewe kesi, uuliwe, ufungwe. Ukiamua kuwa kwa shetani kaa jumla kama Jay z na mkewe, ukianza mguu ndani mguu nje yaani kwa shetani upo na kwa Mungu upo lazima yakupate yaliyowapata kina bob marley, tupac, big small, kobe bryant, Aaliyah, left eye, dmx, michael jackson, witness houston and more.
Wanamlia timing Justin Bieber.
🤔 kwahiyo unataka kuudhihirishia ummakwamba umarufu wa watu wote hawa unatokana na ushwaitwani
 
Back
Top Bottom