beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Nikikwambia nipe ushahidi wa huo uzushi wenu nina uhakika utakimbia au utaishia kusema "haya mambo ni ya siri sana". Sasa kama ni ya siri nyie mmeyajuaje?The only bullshit here is YOU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikwambia nipe ushahidi wa huo uzushi wenu nina uhakika utakimbia au utaishia kusema "haya mambo ni ya siri sana". Sasa kama ni ya siri nyie mmeyajuaje?The only bullshit here is YOU.
Hujawahi kuiona sex tape ya R Kelly akiwa na kitoto kidogo? Mbona ilizunguka sana mitandaoni?WEWE!!
Tupia uthibitisho wowote. Na je R.Kelly ni Rapa?That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.
Ebanae...hata witness houston😀Alipewa umaarufu na shetani SAsa akataka kumkimbia shetani, akaliwa kichwa. Hela ya shetani haiendi bure. Upewe kesi, uuliwe, ufungwe. Ukiamua kuwa kwa shetani kaa jumla kama Jay z na mkewe, ukianza mguu ndani mguu nje yaani kwa shetani upo na kwa Mungu upo lazima yakupate yaliyowapata kina bob marley, tupac, big small, kobe bryant, Aaliyah, left eye, dmx, michael jackson, witness houston and more.
Wanamlia timing Justin Bieber.
Fanya tafiti KILA ikikaribia tuzo za grammy awards ni lazima wamtoe mtu kafara,wengi wao huwa ni wale waliokiuka mikataba.Ukiingia kwa shetani umeingia kutoka au kutaka kutoka adhabu yake kifo.Ebanae...hata witness houston😀
Hizi ni siri kali ila sisi tunazijua
Dah we jamaa muongo sana.Fanya tafiti KILA ikikaribia tuzo za grammy awards ni lazima wamtoe mtu kafara,wengi wao huwa ni wale waliokiuka mikataba.Ukiingia kwa shetani umeingia kutoka au kutaka kutoka adhabu yake kifo.
Lakini zipo mbinu za kutoka na ukawashinda hao wapumbavu na wasikufanye kitu.
Whitney Houston (sio Witness), alikufa baada ya kuzama kwenye sinki la kuogea kutokana na kuzidiwa na madawa ya kulevya, tatizo lake ambalo lilikuwa well documented. Acheni uzushi wenu!Ebanae...hata witness houston[emoji3]
Hizi ni siri kali ila sisi tunazijua
Kufatilia Kwa sasa ni ngumu sana, kama hutojali inaonekana wewe unafahamu hao watu waliotolewa kafara tuzo za Grammy zinapokaribiaFanya tafiti KILA ikikaribia tuzo za grammy awards ni lazima wamtoe mtu kafara,wengi wao huwa ni wale waliokiuka mikataba.Ukiingia kwa shetani umeingia kutoka au kutaka kutoka adhabu yake kifo.
Lakini zipo mbinu za kutoka na ukawashinda hao wapumbavu na wasikufanye kitu.
Akikujibu unitag.Kufatilia Kwa sasa ni ngumu sana, kama hutojali inaonekana wewe unafahamu hao watu waliotolewa kafara tuzo za Grammy zinapokaribia
Nimekuwa mfuasi wa ufatiliaji wa utoaji wa hizi tuzo Kwa miaka kadhaa, Naomba unitoe tongo tongo tu angalau Kwa watu wa 5 tu ambao walitolewa kafara tuzo za Grammy zinapokaribia
najua mara nyingi hutolewa mwezi February ispokuwa mwaka huu ambao walitoa April, hebu tuanzie Kwa mtu alietolewa kafara Kwa mwaka huu kurudi nyuma miaka 5 mkuu
🤔 kwahiyo unataka kuudhihirishia ummakwamba umarufu wa watu wote hawa unatokana na ushwaitwaniAlipewa umaarufu na shetani SAsa akataka kumkimbia shetani, akaliwa kichwa. Hela ya shetani haiendi bure. Upewe kesi, uuliwe, ufungwe. Ukiamua kuwa kwa shetani kaa jumla kama Jay z na mkewe, ukianza mguu ndani mguu nje yaani kwa shetani upo na kwa Mungu upo lazima yakupate yaliyowapata kina bob marley, tupac, big small, kobe bryant, Aaliyah, left eye, dmx, michael jackson, witness houston and more.
Wanamlia timing Justin Bieber.
Pamoja MkuuAkikujibu unitag.
Watu wepi wote hao.🤔 kwahiyo unataka kuudhihirishia ummakwamba umarufu wa watu wote hawa unatokana na ushwaitwani