Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mtazamo tuVitoto vina kym mnato lazima udate
Sasa kwanza kulala na mwanamke asiyejielewa ni ulemavu wa akili. .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtazamo tuVitoto vina kym mnato lazima udate
Ajielewi mtoto ila anaelewa Mambo[emoji12]Mtazamo tu
Sasa kwanza kulala na mwanamke asiyejielewa ni ulemavu wa akili. .
Wa pili kaona mazito kajiuzuluWewe ulisema hakuna Pope aliyewahi kujiuzuru. Nimeonyesha kwamba ulidanganya. Mambo ya muda gani ulipita ni siasa tu.
Hoja sio kuridhia au la, hoja ni baadhi ya watu humu kutuaminisha kwamba R Kelly amefungwa kutokana na conspiracy ya Illuminati, freemasons and all that bullshit au kafungwa kwa sababu ni mweusi. Watu wanasahau au hawajui kwamba R Kelly alishawahi kupelekwa mahakamani kwa kosa kama hili na akashinda pamoja na kuwepo ushahidi wa tape ikionyesha akiwa na minor. Kwa nini walishindwa kumfunga wakati huo kama kulikuwa na njama?Kwa iyo umerizia kelly kufungwa miaka 30 huku mwenye hatia ya mauaji,kukwepa kodi na kumpiga kijana wa miaka 14 (2017) kuhukumiwa miaka 22 na 1/2?
Bwana we you never know but they were close friends ukizingatia wote walikuwa na pesawalikuwa wanakula vifanga na bwana bill gates nini?
Tena hili la kila State kuwa na sheria zake usipolifahamu unaweza kulalamika bure.Hoja sio kuridhia au la, hoja ni baadhi ya watu humu kutuaminisha kwamba R Kelly amefungwa kutokana na conspiracy ya Illuminati, freemasons and all that bullshit au kafungwa kwa sababu ni mweusi. Watu wanasahau au hawajui kwamba R Kelly alishawahi kupelekwa mahakamani kwa kosa kama hili na akashinda pamoja na kuwepo ushahidi wa tape ikionyesha akiwa na minor. Kwa nini walishindwa kumfunga wakati huo kama kulikuwa na njama?
Argument yako kwamba kwa nini R Kelly kafungwa miaka 30 na mwingine miaka 22 haina mashiko. Kwanza kesi zao ni tofauti na zimetokea kwenye States tofauti. US kila state ina sheria zake. Pili, ni lazima ujue kila mshitakiwa alishtakiwa kwa kosa lipi na kosa hilo lina adhabu gani kwenye hiyo state. Tatu, mwenendo wa kesi huwa na mambo mengi mpaka mtu kufungwa mfano ushahidi ukoje, mtuhumiwa ana mwanasheria mzuri anayeweza ku-argue kwa niaba ya mshitakiwa na mambo mengine mengi. Haya yote unaweza kuyapata usipokuwa mvivu kutafiti suala unalotaka kuzungumzia. Sio unaropoka tu mbona huyu kapigwa 30 na huyu kapigwa 22.
ni kweli walikuwa wanakula vifaranga bwana hahaha. sasa hela ipo vifarnaga mbususus bado mnato na wanataka macho matatu watambe mjini why not usiwale.Bwana we you never know but they were close friends ukizingatia wote walikuwa na pesa
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ni kweli walikuwa wanakula vifaranga bwana hahaha. sasa hela ipo vifarnaga mbususus bado mnato na wanataka macho matatu watambe mjini why not usiwale.
jamaa alikuwa na frustration zake bwana maana alijua kabisa hawezi kuja kuwa mfalme so bora aburudike na mbususu.🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Inawezekana kwa sababu there is no way Prince Andrew angekuja kuwa King the same applies to Prince Harry. Sijui time will tell na huwezi kujua Mungu amepanga nini.jamaa alikuwa na frustration zake bwana maana alijua kabisa hawezi kuja kuwa mfalme so bora aburudike na mbususu.
same applies to harry, alishajua hapa mie kuwa mfalme ni 0 chance so wacha nijichukulie divorcee wangu nile bata
ah wewe bibi mwenyewe yule alivyo na roho mbaya mpaka leo yupo madarakani. yaani kweli elizabeth ameshindwa kusema ngoja nimuachie mwanangu ufalme. alafu huku africa rais akikaa madarakani muda mremfu wanaanza kutupigia kelele wakati kibibi chao akitaki kumuachia ufalme ata mtoto wake mwenyeweInawezekana kwa sababu there is no way Prince Andrew angekuja kuwa King the same applies to Prince Harry. Sijui time will tell na huwezi kujua Mungu amepanga nini.
Monarch na Urais ni vitu viwili tofauti. Muache Elizabeth II atawale mpaka Mungu amchukue!!!😄😄. Halafu kwa makandokando ya Prince Charles naye hata ningekuwa mimi nisingetoka mpaka nife.ah wewe bibi mwenyewe yule alivyo na roho mbaya mpaka leo yupo madarakani. yaani kweli elizabeth ameshindwa kusema ngoja nimuachie mwanangu ufalme. alafu huku africa rais akikaa madarakani muda mremfu wanaanza kutupigia kelele wakati kibibi chao akitaki kumuachia ufalme ata mtoto wake mwenyewe
Makando kando yapi bwana yeye kampenda camila wake basi.Monarch na Urais ni vitu viwili tofauti. Muache Elizabeth II atawale mpaka Mungu amchukue!!!😄😄. Halafu kwa makandokando ya Prince Charles naye hata ningekuwa mimi nisingetoka mpaka nife.
Anyway she is getting old akifika muda akiona imetosha anaweza kuachia ngazi. Kumbuka ni mtawala aliyetawala miaka mingi kuliko yeyote katika Uingereza.
Hizo zote alitengenezewa wala hakufanya huo ni mpango tu km ilivyokuwa kwa kina papi kocha.. Mungu atasimama pamoja na yeyeNaomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?
Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa
Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Nyinyi hamuelewi vema spiritual realm, kinachofanyika NI hivi wakishajiunga na illuminati wanatumiwa roho ambazo zinawaendesha kufanya mambo hayo kama ulawiti, ushoga, usagaji n.kYeye itakua kuna masharti alikiuka ya hao Illuminati, kwasababu zamani kwenye hizi kesi zake za ajabu ajabu walikua wanamkingia kifua anatoka easily..
Kwa sasa Drake analawiti vijana wadogo wa kiume “ certified boy lover” ila illuminati wanamprotect, akikiuka maagizo au wakimchoka utaanza sikia skendo zake..
Obvious. Ila mengi yametokea kwa bibi wa watu. Charles kuachana na Diana; Andrew kuachana na Sarah Ferguson; Princess Anne kuachana na Mark Phillips; kifo cha Princess Di; saga la Prince Andrew; Prince Harry kujiondoa kwenye kazi za royal; hata UK kujiondoa kwenye EU ilikuwa ni mitihani tosha kwake.Makando kando yapi bwana yeye kampenda camila wake basi.
Uchoyo tuu wee kumuachia mtoto wako kiti unashindwa....maana at the end of the day bado utaishi maisha mazuri mtoto wako hawezi kukutupa.
WEWE!!Propanda wakati watu tumeona mpaka tapes?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona kama unatufokea?
Kwani unatulishaga?
Illuminati is nothing but bullshit!