R Kelly’s lawyer confirms singer’s marriage to Aaliyah when she was just 15

kwa ushahidi wa safari hii lazma aende nyuma ya nondo... kesi zote zilizopita alitumia hela kuwalipa victims wakawa hawatoi ushirikiano kwa mahakama so jamaa akawa anaachiwa .

ila this time amekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize wale ma padree wa RC wenye kesi za ulawiti ni wazungu !?
Sio weusi tu, labda ni kuwa una notice haraka kulinganisha na za wengine.

Christiano Ronaldo ana msala wake, Muigizaji maarufu na mshindi wa Oscar, Kevin Spacey ana tuhuma za 'kumnyanyasa' dogo wa kiume miaka 18.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah kwahiyo yule manzi ndio kamjibu hivi !?...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndo upumbavu wa Black America wanaongeaga ujinga tu mtu mama yake kamwagiwa shahawa mpaka kazaliwa leo kaachwa imekuwa nongwa,je wangekuwa ndani ya ndoa angeropoka huo ujinga
 
Dahh . Hili suala limesha pelekwa mahakamani ...!!? Kama bado hao wanao lalamika kufanyiwa unyanyasaji wana subiri nini !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hakuna mwanaume mwenye muda na mimi ila mashoga wengine ambao wanatetea mama zao kupulizwa wakiwa na miaka12 na mijitu ya miaka30 wana muda na mimi na kunijibu. Binti yako pia akiwa na miaka8 tutaanza kumpitishia pipe kama umteteavyo R. Kelly
Hamna mwanaume mwenye muda na wewe shoga wa lumumba
 
Tayari kesi ya jinai imeanza kuchunguzwa juu ya hili na wote wanaohusikia wanaombwa kutoa ushirikiano. Hakika round hii hawezi kusalimika, ataishia nyuma ya nondo
Dahh . Hili suala limesha pelekwa mahakamani ...!!? Kama bado hao wanao lalamika kufanyiwa unyanyasaji wana subiri nini !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh . Hili suala limesha pelekwa mahakamani ...!!? Kama bado hao wanao lalamika kufanyiwa unyanyasaji wana subiri nini !?

Sent using Jamii Forums mobile app
tayari District artoney amelipeleka ofisini so now ipo chizi ya uchunguzi ukikamilika jamaa anakamatwa...

ila maisha yake yameshakuwa magumu juzi alikuwa anapiga story na mademu wawili kwenye trump tower raia wema wakapiga simu kuwa rkelly anahatarisha usalama wa wale mademu polisi ghafla wakaja wakamkata jamaa sema mademu wakamuokoa wakasema hakuna tatizo

ila wazazi wa hao mademu wakaenda vyombo vya habari wakasema walishawahi kugombana na rkelly kisa alikuwa anawachanganya watoto wao(hao mademu) na kuwanyisha threesome

jamaa hana pakuchomokea this time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani saa wanafanya hiyo makitu unayosema alikuwa amewakaba ,amewashikia bunduki au walitaka?
 
Kwani saa wanafanya hiyo makitu unayosema alikuwa amewakaba ,amewashikia bunduki au walitaka?
hahahah mkuu hata kama walitaka tatizo sheria haitambui ngono na mtu chini ya 18 yrs

hapa naona kilichomkuta Bill Cosby ndio kinamkuta na rkelly ..

sema hawa jamaa kesi zao hizi huwa zinadumu sana so kelly anaweza kuingia jela mwaka 2026 huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hakuna mwanaume mwenye muda na mimi ila mashoga wengine ambao wanatetea mama zao kupulizwa wakiwa na miaka12 na mijitu ya miaka30 wana muda na mimi na kunijibu. Binti yako pia akiwa na miaka8 tutaanza kumpitishia pipe kama umteteavyo R. Kelly
Sasa wewe shoga binti yangu utamfanya nini wakati wote mko sawa tu
 
Ndo maana nasema black America huwa ni wapuuzi sana,huwezi kuta mtoto wa tasha au ex wake wanfanya upumbavu kama huu anaofanyiwa Kelly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…