R.O.M.A Tanzania best artist ever

Kwakweli nyimbo za roma ni kama ana angalia taarifa ya habari alaf ana tunga nyimbo!
 
Kwakweli nyimbo za roma ni kama ana angalia taarifa ya habari alaf ana tunga nyimbo!

true that...jamaa sio mwandishi mzuri...mtu anauwezo wa kupredict wimbo mpya wa roma utahusu nini kwama ukifatilia vyema taarifa za habari na magazeti.hana jipya
 
Nina mashaka na hii "best artist ever" bado sana kwa ROMA kuwa best artist ever,
kuna ambavyo vinamsaidia roma kupanda chati, ki2 kikubwa ana bahati ya kupendwa(nyota inang'aa)

anajua kuandika sana lakini tatizo lake anaimba kwa style ambayo inachosha, ukiliza mechi za ugenini, mathematics na hata hii 2030 style ya uimbaji haibadiliki,

kama angekuwa anaimba kwa style aliyoimba nyimbo ya mvua na jua rmx akiwa na jmo, ningekubali kidogo kwamba ni best artist,

lakini kwa kutuambia eti best artist every in tz, nakupinga kwa % zote, labda kama ni mapenzi binafsi.
 
Halafu jamaa lazim ataje majina ya watu nyimbo nzima mwamzo mwisho...sijaona real talent bado.
 
Kwahiyo huyu ROMA anaimba Kiitaliano!!??
 
mie namkubali kinyama hata msemeje kijana IQ yake ni kubwaaaaaaaa
 
Roma sio msanii mkali ni mwanaharakati tu anejua kukusanya matukio na kuyaandikia mistari kwa vina bass
 
Roma ni Gazeti...kiuandishi bado sana hamna tofauti ya kusoma gazeti na kumsikiliza roma
unajua kwa nini midundo yake ina kick nyingi?...kwa sababu hajui kunata na midundo..

wanatupa ubao tuchonge jeneza, tusonge tunavyoweza-Hashim dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…