Gifted ment
Member
- Jan 3, 2013
- 10
- 1
Roma anajitahidi kwa kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli nyimbo za roma ni kama ana angalia taarifa ya habari alaf ana tunga nyimbo!
Kwahiyo huyu ROMA anaimba Kiitaliano!!??,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu mwimbaji. Haya yalikua maneno ya babaangu mzazi jinsi alivovutiwa na wimbo wa roma hadi kutaka albm zake jamaa anastahili heshima ya juu pesi ilimaliza ugomvi baina ya ruge na sugu hahahaaa