Siyo waislamu. Uislamu ni dini ingawa wengi wa Wana wa Ishmaeli ni Waislamu. Sehemu kubwa ya Uzao wa Ishmaeli ni Waarabu ingawa SI Waarabu wote ni Uzao wa Ishmaeli. Uzao wa Ishmaeli ndo waasisi wa Dini ya Uislamu ( Mtume wa Mohamad ni Uzao Ishmael ambaye ni mtoto wa Ibrahimu). Kwa ufupi Arabs wengi na Wayahudi wa Uzao wa Ibrahimu ni ndugu. Pia SI Wayahudi wote ni uzao wa Ibrahimu maana Uyahudi ni dini ambayo pia imepokea watu wa Uzao mwingine tofauti na Uzao wa Ibrahimu