Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?


Sijui ni Mungu yupi ambae alikuwa anaabudiwa kwa kutumia vitu nyakati za zamani

Inawezekana kweli kuna ajenda ya siri kwa hawa watu lakini ajenda hiyo ni ipi?

Nyota wakati wa zamani zilitumika kiimani na imani zilizokuwa zinatumia zinajulikana kuwa ni za kipagani,leo hii Mungu hajabadilika....

Ninavyojua mimi ibada ya kutumia vitu ni marufuku,labda una ushahidi unipe mkuu!!
 
Nikikuletea hapa web nyingine kutoka google ambayo inapinga hili lililoelezwa humo kwenye hii adress yako utaamini lipi?

Everybody can write and post information on the web. So the point isn't googling and retrieve any information from the internet but rather finding reputable sources. Take for example that fellow called Buberwa. He believes that he's a prophet. There are thousands like him who have computer, internet connection and the ability to post anything to the internet.
 

Jews, Christians, and Muslims have used symbols for various purpose. However, that doesn't mean that they worship them. For example, Muslims didn't use the crescent and star combination as their symbol. However, today almost every mosque is adorned with. Most modern Muslims believe that the symbol is part of the religion, but isn't. Roman Catholics used to pray in Latin, but now they pray in their own languages. Remember language is symbol too.
 
Dont change the subject, bring the fact against what I have written about the Torah, The Tanaka, The Talmud and The Hebrew Bible:

Nani anaye change subject!? Wewe hayo unayoyabandika ndiyo Eiyer aliyokuwa anayataka!? mara ubandike chuki za Wayahudi dhidi ya Wakristo, kana kwamba jamii zingine ziko poa, mara uelezee hawa watu hawafai, mara ubandike Talmud inasemaje, kukujibu nasema na change subject, halafu kwenye thread nyingi mabandiko yako ni yale yale hata maneno hayabadiliki, iwe kule Jukwaa la Dini, International forum na huku Intelligence... Tatizo unafikiri upo hapa unamfundisha Eiyer ndio maana unapiga na mkwara...

Kule International forum nilikujibu namna hii hapa chini, niki quote moja ya bandiko lako linalojirudia mara kwa mara, hilo kwa juu hapa chini ni bandiko lako ambalo nilifupisha nikakijibu kile ki portion halafu hapa unajifanya umesahau tena, hebu angalia hapa chini
 
Ahsanteni Katavi na Mkuu wa chuo
Kwa historia fupi tu, Nchi ya Israel/Zionist Federation ni matunda ya zionist community iliyoanzishwa rasmi na Theodor Herzl mwaka 1897. Huyu bwana historia inamcredit kuwa myahudi wa kwanza kuwa na mawazo ya kuwa na formation of state of Israel wakati akiwa bado mlowezi huko Ujerumani
Tukija kwenye swala la nyota iliyopo katika bendera na Israel, watu wawili wanahusishwa na hiyo bendera, kwanza Herzl mwenyewe na bwana David Wolffsohn.(1856-1914) Herzl anaandika; "We have no flag, and we need one. If we desire to lead many men, we must raise a symbol above their heads. I would suggest a white flag, with seven golden stars. The white field symbolizes our pure new life; the stars are the seven golden hours of our working-day. For we shall march into the Promised Land carrying the badge of honor"
Wolffsohn alikua na mawazo mengine; "At the behest of our leader Herzl, I came to Basle to make preparations for the Zionist Congress. Among many other problems that occupied me then was one that contained something of the essence of the Jewish problem. What flag would we hang in the Congress Hall? Then an idea struck me. We have a flag—and it is blue and white. The talith (prayer shawl) with which we wrap ourselves when we pray: that is our symbol. Let us take this Talith from its bag and unroll it before the eyes of Israel and the eyes of all nations. So I ordered a blue and white flag with the Shield of David painted upon it. That is how the national flag, that flew over Congress Hall, came into being"
Na katika 1st Zionist Congress 1987 hiyo nyota ilichaguliwa rasmi kuwa katika bendera inayowakilisha worldwide Zionist community na hiyo bendera baadae ikaja kuwa bendera ya Israel.
Kuhusu historia ya matumizi ya hiyo nyota kwa wayahudi kuna nadharia mbalimbali kama alivyoziweka punjab Sigh lakini nadharia inayokubalika zaidi ni kuwa hiyo alama haikuwa kati ya alama zilizowatambulisha wayahudi, zaidi ilikua inatumiwa kwenye kabbala na kabbalistic writings.
Niishie hapo kwa muda, ingawa nimeona kuna mjadala mkali wa Lucifer, nani ni Lucifer? Je ni nani alimuintroduce lucifer kwenye bible?
Mengine ya kujadili ni kama the Balfour declaration, nini maana ya holocaust, zile vita kuu za Dunia na Hitler zilisaidiaje the formation of state of Israel pamoja na role ya Britain n.k
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mourinho shukrani kwa bandiko lako hilo, unaweza ukaendelea kutiririka zaidi mjadala unatakiwa uwe namna hiyo kulingama na maudhui ya main post... na sio ile mtu anakuja anaweka bandiko eti Talmud inasema vipi kuhusiana na Gentiles, ukimuuliza maswali hajui, na hicho kitu anachobandika hata hakijibu hoja...

Kama vipi unaweza ukaendelea kushuka zaidi, hadi huko kwa Lucifer na hapo ulipoishia nipo nafuatilia, tunaweza tukajadili...
 
Last edited by a moderator:

Wickama na Eiyer siku zote i have been wondering kuhusu hii salam ya heshima ya sisi wahaya SHUMALAMU=SHALOM?
 
Last edited by a moderator:

Sasa utawezaje kuthibitisha kuwa unachokiweka hapa ni sahihi?

Kuna jamaa ni mu-Iran na ameshatoa ushahidi ambao unakinzana na haya madai ya Punjab,nimsikilize Punjab au huyu mu-Iran?
 

Nilisema kuwa hakuna ushahidi wowote ambao watu wa Mungu kwenye vitabu vya dini ambapo walitumia alama kumuomba Mungu,nipe ushahidi kama unao

Kama hakuna hii kitu imetoka wapi?

Wapagani ndio ilikuwa desturi yao kufanya hivi,inakuwaje leo kuna watu wanadai wanamuabudu Mungu wa kweli lakini bado wanafanya ibada kama za kipagani?
 
Wickama na Eiyer siku zote i have been wondering kuhusu hii salam ya heshima ya sisi wahaya SHUMALAMU=SHALOM?

Mkuu hilo linawezekana lakini tuendelee kujifunza pamoja maana inaonekana kile tunachokijua sio tulichotakiwa kukijua na tusichokijua ndicho tulitakiwa kukijua

Nilikuwa naangalia filam moja inaitwa X-men pt 3,kwenye hii filamu kuna jamaa alisema hivi "Historia inayojulikana na wengi imejaa uongo mwingi na ukweli mchache,wale ambao wanaijua historia ya kweli wanaitumia kama fim bo ya kuwaadhibu wengine",ukitazama maneno haya yana ukweli mkubwa sana

Hebu fikiri kama sisi Wabantu ndio Wayahudi wale ambao wanasemwa kule kwenye vitabu vitakatifu,unadhani tukijua itatubadilisha kiasi gani?

Tumezoea kuambia sisi ndio tuliolaaniwa kwasababu ya ngozi yetu kuwa nyeusi
Tunaambiwa kuwa sisi hatukuumbwa na Mungu kwasababu ya weusi wetu
Tunaambiwa kuwa Mungu ni mweupe na kuna dada mmoja anaitwa Nyisake amewahi kutoa "ushuhuda" wake akisema kuwa alikwenda mbinguni na alipokuwa anatoa discription ya malaika na watakatifu "aliowaona" huko mbinguni alisema wana nywele ndefu na ni weupe

Yaani tunaona kuwa mbinguni ku na wazungu tu na hakuna weusi kama sisi

Tuna matatizo mengi sana sisi kwenye vichwa vyetu!
 

Kwa mujibu wa haya maelezo yako ni kwamba hii Israel ambayo tunaiona leo ni taifa ambalo kuna watu fulani wakaamua tu kuliunda sio?

Hebu endelea kutiririka mkuu ...!!
 

Mkuu nilikua "nimetekwa" kidogo na Dan Brown, back to topic, nadhani kuna mwanabodi mmoja ameilinganisha hiyo nyota kwenye bendera ya Israel na aya mbili tofauti za kwenye bible, Isaiah 14:12 na Rev 22:16, lakini nilichojifunza kwa miaka sasa ni kutochukulia story za kwenye bible literally kwa sababu bible imeandikwa in allegories, parables, myths and legends. Jesus mwenyewe alikiri kuwa alikua anaongea na watu kwa parables.

Isaiah anamuongea "son of the morning/son of the dawn" wakati John anaiongelea "morning star", ukisoma maandishi ya masons au watu waliojikita vizuri katika unajimu watakwambia son of the morning ni nyota ya Sirius na ina majina mengi kama the dog star, the Eastern Star n.k, is the brightest star, twice as massive as the sun and 20 times more luminous. Artifacts of ancient civilizations have revealed that Sirius was of a great importance in astronomy, mythology and occultism. Mystery schools consider it to be “sun behind the sun” and, therefore, the true source of our sun’s potency. If our sun’s warmth keeps the physical world alive, Sirius is considered to keep the spiritual world alive. It is the “real light” shining in the East, the spiritual light, where as the sun illuminates the physical world, which is considered to be a grand illusion.
Kwa upande wa morning star kuna two arguments, literally speaking morning star ni Venus ambayo alama yake ni pentagram lakini argument nyingine morning star ni Jua/Sun
Sirius ndio hutangaza wa ujio wa jua kwa sababu hutokea kabla ya jua na ina nguvu kuliko jua, wakati jua linafanya maisha yaweze kuwa kama yalivyo duniani, Sirius ndio hulipa jua letu nguvu yake "the sun behind the sun"
Kwenye bible wale mamajusi ambao kwa dunia ya leo ni wanajimu kama kina Sheikh Yahya, waliongozwa na "nyota ya mashariki/eastern star" au Sirius kujua alipozaliwa Jesus/ God's Son (Sun?) ambaye anaitwa "the light of the world"
Hapa ndio Masons wanapojenga msingi wa hoja yao na hii nyota ya Sirius na ndiko notion ya Lucifer inaingizwa. Lucifer kama inavyojulikana ni kilatini chenye maana ya 'Light Bearer', 'Bringer of Light', 'Bringer of Dawn' kwa maana nyingine kutokana na maandishi ya Masons Lucifer ni Sirius na siyo Venus kama wanavyojaribu ku-conceal it's meaning
Tukirudi kwa nabii Isaiah, neno 'Lucifer' liliingizwa kwenye bible ya King James maarufu kuliko biblia zote, the King James Version, kabla yake hakukua na neno Lucifer kwenye bible, ile story kama alivyosema Elungata ilikua inamuongelea huyo mfalme katili, lakini baada ya hii most famous bible version ndio watu wakailinganisha ile story na anguko la Shetani na mwanzo wa shetani kuitwa Lucifer and vice versa.
Lakini swali muhimu hapa je watu wanajua controversies zinazoambatana na KJV? Was it KJV or rather Sir Francis Bacon's Version? Je watu wanajua kuhusiana na maisha na imani za huyu father of modern science na masonic symbols zilizotumbukizwa humo kwenye KJV?
Kwa uelewa wangu hiyo nyota ya kwenye bendera ya Israel haiusiani na chochote nilichojadili hapo juu ina maana nyingine tofauti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…