Punjab Singh
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 955
- 651
Ahsanteni Katavi na Mkuu wa chuo
Kwa historia fupi tu, Nchi ya Israel/Zionist Federation ni matunda ya zionist community iliyoanzishwa rasmi na Theodor Herzl mwaka 1897. Huyu bwana historia inamcredit kuwa myahudi wa kwanza kuwa na mawazo ya kuwa na formation of state of Israel wakati akiwa bado mlowezi huko Ujerumani
Tukija kwenye swala la nyota iliyopo katika bendera na Israel, watu wawili wanahusishwa na hiyo bendera, kwanza Herzl mwenyewe na bwana David Wolffsohn.(1856-1914) Herzl anaandika; "We have no flag, and we need one. If we desire to lead many men, we must raise a symbol above their heads. I would suggest a white flag, with seven golden stars. The white field symbolizes our pure new life; the stars are the seven golden hours of our working-day. For we shall march into the Promised Land carrying the badge of honor"
Wolffsohn alikua na mawazo mengine; "At the behest of our leader Herzl, I came to Basle to make preparations for the Zionist Congress. Among many other problems that occupied me then was one that contained something of the essence of the Jewish problem. What flag would we hang in the Congress Hall? Then an idea struck me. We have a flagand it is blue and white. The talith (prayer shawl) with which we wrap ourselves when we pray: that is our symbol. Let us take this Talith from its bag and unroll it before the eyes of Israel and the eyes of all nations. So I ordered a blue and white flag with the Shield of David painted upon it. That is how the national flag, that flew over Congress Hall, came into being"
Na katika 1st Zionist Congress 1987 hiyo nyota ilichaguliwa rasmi kuwa katika bendera inayowakilisha worldwide Zionist community na hiyo bendera baadae ikaja kuwa bendera ya Israel.
Kuhusu historia ya matumizi ya hiyo nyota kwa wayahudi kuna nadharia mbalimbali kama alivyoziweka punjab Sigh lakini nadharia inayokubalika zaidi ni kuwa hiyo alama haikuwa kati ya alama zilizowatambulisha wayahudi, zaidi ilikua inatumiwa kwenye kabbala na kabbalistic writings.
Niishie hapo kwa muda, ingawa nimeona kuna mjadala mkali wa Lucifer, nani ni Lucifer? Je ni nani alimuintroduce lucifer kwenye bible?
Mengine ya kujadili ni kama the Balfour declaration, nini maana ya holocaust, zile vita kuu za Dunia na Hitler zilisaidiaje the formation of state of Israel pamoja na role ya Britain n.k
Then why don't you also inform your audiance that in that Balfour Declaration Conference it was firstly decided to immigrate the Jews from Europe and the Diaspora to Uganda? So Uganda would have been The Jewish Promised Land today?
Last edited by a moderator: