Nimetazama video mkuu .....
Ndio yale yale ambayo tumekuwa tukihoji hapa kuhusiana na uwkeli wa asili na rangi ya Yesu pamoja na Wayahudi wote
Inaonekana hawa watu wanajua ukweli lakini wanaficha kwasababu mbali mbali ...!!
Ni kweli Mkuu,
ushahidi unaonyesha kuna mahali mtu au watu waligeuza historia kudanganya umma. Angalia jinsi makanisa mengi Ulaya walivyokuwa wanamtambua Maddona kama a black woman;
This is where people should understand what the white people with the help of the jews how are they manipulating the facts.
Take these examples:
White man found Mt. Kilimanjaro
White man found Mt. Amazon River & Forest
White man found Lake Victoria
Lawrence of Arabia is a White Man.
They never said tha Caeser Agustus is an Arab
They never said that Caeser Septemus was an African.
They never mention Princess Charlote of UK is of African descent.
Even in movies:
In Africa the Chimps took a lost white boy as their son to become Tarzan.
White man is a Hero Samurai than a Japanese one.
Kung fu martial art movies after Bruce Lee death became mostly white pple like Karate Kid etc.
White budhist monks.
In Wild West movies (cowboy movies) the vilains were always Mexicans
In Magic and Voodoo is always Black Magic and Witchdoctors were olways of dark skin.
Even the Undertacker is black so that even his face is in deep black void covered in black robes.
During the conquest from Middle East to the Far Eastern Asia and from Nothern to the the Sothern tip of Africa the local indigenous people were called savages by the so called Missionery Explorers and Invaders.
So the trend had been this way time immemorial.
Wakati mwingine napata shida sana kuunganisha unachokuwa unaandika na unae m-quote
Kwa mfano hapa,sijui hata unamaanisha nini kwenye unachoandika na nilichoandika
Kwenye mada hii inaonesha kwa ushahidi mkubwa sana kuwa Wayahudi na watu ambao waliishi mashariki ya kati walikuwa ni weusi
Kwa maana hiyo hata hao Wayahudi na Waisraeli nao pia walikuwa weusi
Nashindwa kuelewa kuna tatizo gani hapo hadi udai niliku ignore na kukuletea mtu mwingine
Unaweza kufafanua hapo? Au hukubaliani na hoja kuwa hao niliowataja walikuwa weusi kama mimi?
I thought the known Jews are not Jews ........!!
Ishmael, at last nimegundua kuwa wewe ni KILAZA. Pia huna imagination.
Neno Earth halina maana moja. Soma hapa;
Ukichukua maana hii (soil, top soil etc), basi ile layer ya udongo juu ya miamba kuzungukia dunia nzima ni sawa na kama carpet lililotandazwa kufunika kitu.
- the substance of the land surface; soil.
source: https://www.google.co.tz/?gws_rd=cr,ssl&ei=1oq7VPH1C8iQPZL0gOAK#q=define+earth
Hiyo ya milima kuwa kama pegs na kuipa ardhi stability ni published scientific fact. Hatuna mjadala nayo. Issue hapa ni kuwa wewe unaongozwa na chuki na giza.
jisomee;
MOUNTAINS AS PEGS | Quran Miracles
Who are you asking?Did you know that one of Michele Obama's cousin is a Rabbi?
Vyovyote vile unavyotaka kuichukulia au kuiamin we ichukulie hivyo hivyo.
Then wait mwisho wake utajua haki iko wapi na batili iko wapi??
Wewe shida yako ni nn?huamin na huwez amin km ambavyo hawakuamin wazeee wako ambao hivi sasa wameshajifia na kuuuacha uislam waliokuwa wanaupiga vita ukiendelea kushamiri.
NASHANGAA UNASENA QUR AN NI SATANIC VERSES...TENA HUMO HUMO KWENYE SATANIC VERSES ZIWEPO VERSES ZINAZOMLAANI HUYO SATANI NA KUMWAMBIA KUWA ATAENDA KUUUNGUZWA JEHANNAM??
SASA SATANIC VERSES ZIPI ZINZOWEZA KUMTABIRIA MABAYA MWENYEWE??
ALLAH AMEMUUMBA MWANADAMU KISHA AKAMPA AKILI YA KUTAMBUA BAYA NA JEMA...AKAMPA AKILI YA KUTAMBUA UKWELI NA UWONGO.
KISHA AKAMTAHADHARISHA AKAE MBALI NA SHETANI KISHA AFUATE NJIA YAKE ILIYONYOOKA ALLAH.
SASA MTU KWA UTASHI WAKE AKIAMUA KUUFUATA UPOTOFU HIYO NI JUU YAKE.
THATS WHY ANASEMA HUMUONGOZA AMTAKAE I.E YULE ANAEFUATA MAAMRISHO YAKE NDIYE AMTAKAYE YEYE.
WEWE NA JAMAA ZAKO ENDELEENI KUKAIDI KADIR MUWEZAVYO..MWISHO WAKE MTAUJUA TUH.
MIMI BINAFSI HUWA SIBISHANI NA KAFIRI.
KAFIRI NI MTU DHAIFU AMBAE TAYARI AMESHASHINDWA.
HANA HOPE NA MAISHA YAJAYO...HANA MWONGOZO...HANA TUMAIN BAADA YA KUFA THATS WHY KAFIR YEYOTE HUOGOPA SANA KIFO.
KAFIR ANAMCHUKUA KINYAGO NA PICHA YAKE KISHA ANAKIABUDU NA KUKIIITA MUNGU?sasa mimi atanisumbua nin.
Infact mi nakuhurumia tuh.
[h=3]ALLAH ANASEMA KATIKA KORAN KUWA WAISLAM WOTE WATAINGIA JEHANNAM[/h]
Jamani huu ni Msiba katika taifa la Islam kwa kushindwa kusoma aya hii ambayo ipo wazi (Quran 40:60).
Katika mada hii, nitawawekea aya kutoka Koran na simulizi za Muhammad ambazo zinatushuhudia kuwa, Waislam wote wataingia Jehanamu.
Hebu tumsome kwanza Allah katika aya aliyo iteremsha kwa Mtume wake Muhammad (Pbuh).
Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Mungu wa Waislam ajulikanaye kwa Jina la Allah amesema kiuwazi kabisa kuwa "wale wote ambao wanajivunia Uislam na kumuabudu Allah wataingia Motoni"
[h=2]
Ndugu zanguni, huu ni Msiba, tena msiba mkubwa sana katika dini na taifa la Kiislam. Allah amesha toa hukumu kwa wamfuatao na inafahamika fika kuwa, Wale wote waingiao Jehannam, hao walikuwa hawafanyi Mapenzi ya Mungu wa Biblia. Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Huu ushaidi ndio tulio usoma katika Quran 40:60.[/h]
Sasa tuwasikilize na maswahiba wa Mtume Muhammad.
Simulizi:
Pia imesimuliwa na Ibn Jarir, iliyosimuliwa na Abu Kurayb, imesimuliwa na Ibn Yaman, imesimuliwa na Ibn Malik Maghul, imesimuliwa na Ibn Ishaq ambaye alisema, "Kila mara Abu Maysarah anapo kwenda kulala na akiwa kitandani kwake yeye husema, 'Mimi nasikia Uchungu kuzaliwa na Mama yangu. 'na kisha anaanza kulia kwa Machozi. Alipoulizwa kwa nini alikuwa akilia, alijibu ayafuatayo,' Tuliambiwa kwamba SISI WAISLAMU tutaingia Jehannamu, LAKINI HATUKUAMBIWA kwamba TUTATOLEWA HUKO JEHANNAMU NA HATUKUAMBIWA NI KIVIPI TUTATOKA HUKO'"
Mfuasi huyu wa Muhammad anaoneka kupatwa na mshtuko mkubwa, pale alipo ambiwa kuwa, Waislam wote wataingia Jehannam. Mshtuko huu umemfanya ailaani siku ambayo alizaliwa. Kitu cha kujiuliza, kwanini Allah ambaye ni mungu wa Waislam anatoa ahadi ya Jehannam na si Akhera kama wafundishavyo Waislam?
[h=2]Ndugu zanguni, ningependa mfahamu kuwa, utakapo ingia Jehannam, kutakuwa hakuna tena njia nyingine ya kutoka huko. Pale Jehannam ndio mwisho wa maisha ya walio tenda dhanb.Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Je, kufanya mapenzi ya Allah ni sawa na kutenda dhanb? Je, Uislam ni dini ya haki, kama wanavyo sema wafundishaji wa dini hiyo? Jiulize tena, kwanini Allah anatoa ahadi ya Jehannam kwa wafuatayo mafundisho yake?[/h]
Lakini Yesu anasema haya:
Yohana 14: 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ndugu zanguni, mwamini Yesu ili uwe na uzima wa milele. Yesu anakupenda. Yesu Ndie Njia Pekee. Yesu Ndie Uzima. Dini haita kupeleka kwa Baba aliye Mbingu, lakini Yesu anasema Yeye NDIE NJIA.
Mungu awabariki sana,
Your denial is empty. You can refute nothing.Kwaheri.
Wasalimie.
Your denial is empty. You can refute nothing.
Watch "Shocking -The Jewish Grudge on Jesus Christ !" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=xCPF3mSloBk&feature=youtube_gdata_player
Mkuu,siku hizi naona unasoma tu lakini huchangii....Kuna web zingine zipo biased yaani zinapenda kuwa brainwash watu, nyingine zimejaa conspiracies, Eiyer analijua hilo... kuna watu wengine ukiwaomba ushahidi basi wanaenda wana google wanakuletea ushahidi halafu wanaamini huo hauna mawaa, yaani wanaamini google... kuna web zingine hazina taarifa zenye ukweli zimejaa propaganda...
Ndio maana nauliza hiyo ni ya kina nani!? Yaani ngojea nikupe mfano nahitaji kujua kitu fulani kuhususiana na Wakatoliki, halafu naenda kwenye web ya Waislam kuchukua huo ushahidi, unadhani nitapata nini!? zaidi ya negativity nyingi...
Mda mwingine unaakili sana ila nashindwa kuelewa mda mwingine unawaza nini sijui lakini naamini ipo siku utaelewa tu kuhusu jambo moja ambalo ni dogo ila linakusumbua.kwa weledi ulionao naamini kabisa unafanyaga makusudi ila mungu akutangulie "inshallah" itaiona nuru.