Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Nimetazama video mkuu .....

Ndio yale yale ambayo tumekuwa tukihoji hapa kuhusiana na uwkeli wa asili na rangi ya Yesu pamoja na Wayahudi wote

Inaonekana hawa watu wanajua ukweli lakini wanaficha kwasababu mbali mbali ...!!

Ni kweli Mkuu,

ushahidi unaonyesha kuna mahali mtu au watu waligeuza historia kudanganya umma. Angalia jinsi makanisa mengi Ulaya walivyokuwa wanamtambua Maddona kama a black woman;

Last edited by a moderator:
Ni kweli Mkuu,

ushahidi unaonyesha kuna mahali mtu au watu waligeuza historia kudanganya umma. Angalia jinsi makanisa mengi Ulaya walivyokuwa wanamtambua Maddona kama a black woman;

Sio nyakati hizo tu mkuu kwani up to this day wanatambua kuwa Yesu na hata mama na Wayahudi na Waisrael wote walikuwa ni weusi na kilichofanyika ni kupotosha ukweli ili malengo yao yatimie

Lakini Mungu alishasema "hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa",kwa ambae anafuatilia mambo haya hata kwa uchache tu atakuwa anajua ukweli

Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja Msabato aliniambia kuwa wao kanisani kwao wameshaanza kufundishwa kuwa Yesu alikuwa ni mweusi,taratibu ukweli utakuwa wazi kwa kila mtu na hakutakuwa na nafasi ya uongo tena labda mtu autake mwenyewe tu!
 
Last edited by a moderator:
This is where people should understand what the white people with the help of the jews how are they manipulating the facts.
Take these examples:
White man found Mt. Kilimanjaro
White man found Mt. Amazon River & Forest
White man found Lake Victoria
Lawrence of Arabia is a White Man.

They never said tha Caeser Agustus is an Arab
They never said that Caeser Septemus was an African.
They never mention Princess Charlote of UK is of African descent.

Even in movies:
In Africa the Chimps took a lost white boy as their son to become Tarzan.

White man is a Hero Samurai than a Japanese one.

Kung fu martial art movies after Bruce Lee death became mostly white pple like Karate Kid etc.

White budhist monks.

In Wild West movies (cowboy movies) the vilains were always Mexicans
In Magic and Voodoo is always Black Magic and Witchdoctors were olways of dark skin.
Even the Undertacker is black so that even his face is in deep black void covered in black robes.

During the conquest from Middle East to the Far Eastern Asia and from Nothern to the the Sothern tip of Africa the local indigenous people were called savages by the so called Missionery Explorers and Invaders.

So the trend had been this way time immemorial.

I thought the known Jews are not Jews ........!!
 
Wakati mwingine napata shida sana kuunganisha unachokuwa unaandika na unae m-quote

Kwa mfano hapa,sijui hata unamaanisha nini kwenye unachoandika na nilichoandika

Kwenye mada hii inaonesha kwa ushahidi mkubwa sana kuwa Wayahudi na watu ambao waliishi mashariki ya kati walikuwa ni weusi

Kwa maana hiyo hata hao Wayahudi na Waisraeli nao pia walikuwa weusi

Nashindwa kuelewa kuna tatizo gani hapo hadi udai niliku ignore na kukuletea mtu mwingine

Unaweza kufafanua hapo? Au hukubaliani na hoja kuwa hao niliowataja walikuwa weusi kama mimi?

In the original discussion we had you brought the same questions and I was directing you to links that might have shone you are assist you to your argument, there is a lot on information there. But may be by default you thought I was leading an opposing view rather than sharing knowledge. Even in this reply it doesnt sound so positive. In my studies from the primary education I have learned the hard way of never expecting direct solution or method of solving questions from my teachers or instructors. I built a habit of searching and digging deep into an issue from different dimensions and resources. All I did was asking to go and search about.such info in understanding you are old enough to undestand and capaple of retrieving data from such sources. To give you a clue for example I mentioned Emperor Darius (Darwesh in Swahili) I thought you could picked that up. So again I asked you did you check that Info that is when your friemd attacked me as to why I give you references in Google! I shouldn't have if we were in the same room in my study I would just pick up a book and shown you that Darius was a black Persian Emperor and so his lineage of Xerxes and Cyrus. This is where the ancient history of black people lies. I once even mentioned of the ancient relic paintings of Jesus and Mary are hiden from public by the grand Coptic Church of Egypt.
Eiyer you were so keen to know about your motion and getting info and exchanging views with others but your friends are stuck in conservative hard core fiery debate between the two main religions and character bashing.

My point today was just to remind you that sometimes you are carried away and your thread changes direction. This is your thread if you want it to have a fair discussion lets go that way otherwise leave it in the hands of the Zealots.
 
Last edited by a moderator:
I thought the known Jews are not Jews ........!!

By general standard If someone want he/she can be a Jew today, he/she just need to join Judaism but he/she will never be a Hebrew.
However, I belive the 'Jews' mentioned in the holy scriptures are almost not the one they claim to be presently.
 
Ishmael, at last nimegundua kuwa wewe ni KILAZA. Pia huna imagination.

Neno Earth halina maana moja. Soma hapa;

Ukichukua maana hii (soil, top soil etc), basi ile layer ya udongo juu ya miamba kuzungukia dunia nzima ni sawa na kama carpet lililotandazwa kufunika kitu.

Hiyo ya milima kuwa kama pegs na kuipa ardhi stability ni published scientific fact. Hatuna mjadala nayo. Issue hapa ni kuwa wewe unaongozwa na chuki na giza.

jisomee;
MOUNTAINS AS PEGS | Quran Miracles

[h=3]Sun-set and Sun-rise[/h]Koran teaches us that the Sun sets in a muddy spring:

Quran 18: 86 Till, when he (the traveller Zul-qarnain) reached the setting-place of the Sun, he found it going down into a muddy spring…

Quran 18: 90 Till, when he reached the rising-place of the Sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter from it.

Serious scientific errors here! Firstly, it is scientifically accepted fact that, the Sun never go down in a muddy spring. Secondly, this seems to presuppose a FLAT Earth, otherwise how can there be an extreme point in the West or in the East? A sunrise there would be basically just the same as at any other place on this earth, at land or sea. It would still look as if it is setting “far away”. It does say, that he reached THE PLACE where the Sun sets and in his second Journey the place where it rises.
 
Vyovyote vile unavyotaka kuichukulia au kuiamin we ichukulie hivyo hivyo.

Then wait mwisho wake utajua haki iko wapi na batili iko wapi??

Wewe shida yako ni nn?huamin na huwez amin km ambavyo hawakuamin wazeee wako ambao hivi sasa wameshajifia na kuuuacha uislam waliokuwa wanaupiga vita ukiendelea kushamiri.

NASHANGAA UNASENA QUR AN NI SATANIC VERSES...TENA HUMO HUMO KWENYE SATANIC VERSES ZIWEPO VERSES ZINAZOMLAANI HUYO SATANI NA KUMWAMBIA KUWA ATAENDA KUUUNGUZWA JEHANNAM??

SASA SATANIC VERSES ZIPI ZINZOWEZA KUMTABIRIA MABAYA MWENYEWE??

ALLAH AMEMUUMBA MWANADAMU KISHA AKAMPA AKILI YA KUTAMBUA BAYA NA JEMA...AKAMPA AKILI YA KUTAMBUA UKWELI NA UWONGO.

KISHA AKAMTAHADHARISHA AKAE MBALI NA SHETANI KISHA AFUATE NJIA YAKE ILIYONYOOKA ALLAH.

SASA MTU KWA UTASHI WAKE AKIAMUA KUUFUATA UPOTOFU HIYO NI JUU YAKE.

THATS WHY ANASEMA HUMUONGOZA AMTAKAE I.E YULE ANAEFUATA MAAMRISHO YAKE NDIYE AMTAKAYE YEYE.

WEWE NA JAMAA ZAKO ENDELEENI KUKAIDI KADIR MUWEZAVYO..MWISHO WAKE MTAUJUA TUH.

MIMI BINAFSI HUWA SIBISHANI NA KAFIRI.

KAFIRI NI MTU DHAIFU AMBAE TAYARI AMESHASHINDWA.

HANA HOPE NA MAISHA YAJAYO...HANA MWONGOZO...HANA TUMAIN BAADA YA KUFA THATS WHY KAFIR YEYOTE HUOGOPA SANA KIFO.

KAFIR ANAMCHUKUA KINYAGO NA PICHA YAKE KISHA ANAKIABUDU NA KUKIIITA MUNGU?sasa mimi atanisumbua nin.

Infact mi nakuhurumia tuh.

[h=3]ALLAH ANASEMA KATIKA KORAN KUWA WAISLAM WOTE WATAINGIA JEHANNAM[/h]

Jamani huu ni Msiba katika taifa la Islam kwa kushindwa kusoma aya hii ambayo ipo wazi (Quran 40:60).

Katika mada hii, nitawawekea aya kutoka Koran na simulizi za Muhammad ambazo zinatushuhudia kuwa, Waislam wote wataingia Jehanamu.

Hebu tumsome kwanza Allah katika aya aliyo iteremsha kwa Mtume wake Muhammad (Pbuh).

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

Mungu wa Waislam ajulikanaye kwa Jina la Allah amesema kiuwazi kabisa kuwa “wale wote ambao wanajivunia Uislam na kumuabudu Allah wataingia Motoni”
[h=2]
Ndugu zanguni, huu ni Msiba, tena msiba mkubwa sana katika dini na taifa la Kiislam. Allah amesha toa hukumu kwa wamfuatao na inafahamika fika kuwa, Wale wote waingiao Jehannam, hao walikuwa hawafanyi Mapenzi ya Mungu wa Biblia. Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Huu ushaidi ndio tulio usoma katika Quran 40:60.
[/h]

Sasa tuwasikilize na maswahiba wa Mtume Muhammad.

Simulizi:
Pia imesimuliwa na Ibn Jarir, iliyosimuliwa na Abu Kurayb, imesimuliwa na Ibn Yaman, imesimuliwa na Ibn Malik Maghul, imesimuliwa na Ibn Ishaq ambaye alisema, "Kila mara Abu Maysarah anapo kwenda kulala na akiwa kitandani kwake yeye husema, 'Mimi nasikia Uchungu kuzaliwa na Mama yangu. 'na kisha anaanza kulia kwa Machozi. Alipoulizwa kwa nini alikuwa akilia, alijibu ayafuatayo,' Tuliambiwa kwamba SISI WAISLAMU tutaingia Jehannamu, LAKINI HATUKUAMBIWA kwamba TUTATOLEWA HUKO JEHANNAMU NA HATUKUAMBIWA NI KIVIPI TUTATOKA HUKO'"

Mfuasi huyu wa Muhammad anaoneka kupatwa na mshtuko mkubwa, pale alipo ambiwa kuwa, Waislam wote wataingia Jehannam. Mshtuko huu umemfanya ailaani siku ambayo alizaliwa. Kitu cha kujiuliza, kwanini Allah ambaye ni mungu wa Waislam anatoa ahadi ya Jehannam na si Akhera kama wafundishavyo Waislam?
[h=2]Ndugu zanguni, ningependa mfahamu kuwa, utakapo ingia Jehannam, kutakuwa hakuna tena njia nyingine ya kutoka huko. Pale Jehannam ndio mwisho wa maisha ya walio tenda dhanb.Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Je, kufanya mapenzi ya Allah ni sawa na kutenda dhanb? Je, Uislam ni dini ya haki, kama wanavyo sema wafundishaji wa dini hiyo? Jiulize tena, kwanini Allah anatoa ahadi ya Jehannam kwa wafuatayo mafundisho yake?[/h]

Lakini Yesu anasema haya:
Yohana 14: 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Ndugu zanguni, mwamini Yesu ili uwe na uzima wa milele. Yesu anakupenda. Yesu Ndie Njia Pekee. Yesu Ndie Uzima. Dini haita kupeleka kwa Baba aliye Mbingu, lakini Yesu anasema Yeye NDIE NJIA.

Mungu awabariki sana,

Kwaheri.

Wasalimie.

[h=3]ALLAH ANASEMA KATIKA KORAN KUWA WAISLAM WOTE WATAINGIA JEHANNAM[/h]

Jamani huu ni Msiba katika taifa la Islam kwa kushindwa kusoma aya hii ambayo ipo wazi (Quran 40:60).

Katika mada hii, nitawawekea aya kutoka Koran na simulizi za Muhammad ambazo zinatushuhudia kuwa, Waislam wote wataingia Jehanamu.

Hebu tumsome kwanza Allah katika aya aliyo iteremsha kwa Mtume wake Muhammad (Pbuh).

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.

Mungu wa Waislam ajulikanaye kwa Jina la Allah amesema kiuwazi kabisa kuwa "wale wote ambao wanajivunia Uislam na kumuabudu Allah wataingia Motoni"
[h=2]
Ndugu zanguni, huu ni Msiba, tena msiba mkubwa sana katika dini na taifa la Kiislam. Allah amesha toa hukumu kwa wamfuatao na inafahamika fika kuwa, Wale wote waingiao Jehannam, hao walikuwa hawafanyi Mapenzi ya Mungu wa Biblia. Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Huu ushaidi ndio tulio usoma katika Quran 40:60.
[/h]

Sasa tuwasikilize na maswahiba wa Mtume Muhammad.

Simulizi:
Pia imesimuliwa na Ibn Jarir, iliyosimuliwa na Abu Kurayb, imesimuliwa na Ibn Yaman, imesimuliwa na Ibn Malik Maghul, imesimuliwa na Ibn Ishaq ambaye alisema, "Kila mara Abu Maysarah anapo kwenda kulala na akiwa kitandani kwake yeye husema, 'Mimi nasikia Uchungu kuzaliwa na Mama yangu. 'na kisha anaanza kulia kwa Machozi. Alipoulizwa kwa nini alikuwa akilia, alijibu ayafuatayo,' Tuliambiwa kwamba SISI WAISLAMU tutaingia Jehannamu, LAKINI HATUKUAMBIWA kwamba TUTATOLEWA HUKO JEHANNAMU NA HATUKUAMBIWA NI KIVIPI TUTATOKA HUKO'"

Mfuasi huyu wa Muhammad anaoneka kupatwa na mshtuko mkubwa, pale alipo ambiwa kuwa, Waislam wote wataingia Jehannam. Mshtuko huu umemfanya ailaani siku ambayo alizaliwa. Kitu cha kujiuliza, kwanini Allah ambaye ni mungu wa Waislam anatoa ahadi ya Jehannam na si Akhera kama wafundishavyo Waislam?
[h=2]Ndugu zanguni, ningependa mfahamu kuwa, utakapo ingia Jehannam, kutakuwa hakuna tena njia nyingine ya kutoka huko. Pale Jehannam ndio mwisho wa maisha ya walio tenda dhanb.Allah anasema kuwa, ukifanya mapenzi yake, basi wewe utaingia Jehannam. Je, kufanya mapenzi ya Allah ni sawa na kutenda dhanb? Je, Uislam ni dini ya haki, kama wanavyo sema wafundishaji wa dini hiyo? Jiulize tena, kwanini Allah anatoa ahadi ya Jehannam kwa wafuatayo mafundisho yake?[/h]

Lakini Yesu anasema haya:
Yohana 14: 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Ndugu zanguni, mwamini Yesu ili uwe na uzima wa milele. Yesu anakupenda. Yesu Ndie Njia Pekee. Yesu Ndie Uzima. Dini haita kupeleka kwa Baba aliye Mbingu, lakini Yesu anasema Yeye NDIE NJIA.

Mungu awabariki sana,

Kuna web zingine zipo biased yaani zinapenda kuwa brainwash watu, nyingine zimejaa conspiracies, Eiyer analijua hilo... kuna watu wengine ukiwaomba ushahidi basi wanaenda wana google wanakuletea ushahidi halafu wanaamini huo hauna mawaa, yaani wanaamini google... kuna web zingine hazina taarifa zenye ukweli zimejaa propaganda...

Ndio maana nauliza hiyo ni ya kina nani!? Yaani ngojea nikupe mfano nahitaji kujua kitu fulani kuhususiana na Wakatoliki, halafu naenda kwenye web ya Waislam kuchukua huo ushahidi, unadhani nitapata nini!? zaidi ya negativity nyingi...
Mkuu,siku hizi naona unasoma tu lakini huchangii....
 
wewe ndo unampa nafasi ya kuiona nuru? na unajuaje kama hajaiona nuru?maana nuru yako wewe inaweza kuwa giza lake na nuru yake yeye ni giza lako.

Mda mwingine unaakili sana ila nashindwa kuelewa mda mwingine unawaza nini sijui lakini naamini ipo siku utaelewa tu kuhusu jambo moja ambalo ni dogo ila linakusumbua.kwa weledi ulionao naamini kabisa unafanyaga makusudi ila mungu akutangulie "inshallah" itaiona nuru.
 
matumizi ya alama ya Star of David kwa wayahudi yalianza kupamba moto karne ya 11 yakianza kama mapambo kwenye kapeti ukiangalia maandiko maarufu ya Tanakh ambayo yaliandikwa mwaka 1008 ni alama hiyo hiyo iliyotumika na watu wa kale wa na maandishi ya tanakh ndiyo ambayo ilikuja kutumia na Rabbi Yosef Bar Yehuda Ben Marvas kutoka Toled. so hakuna ukweli wowote kuwa hiyo alama ilihusishwa au kuandaliwa na hitler.hayo mengine yanaandikwa kwa nia ya propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuhusiana na Uyahudi na Wayahudi.
 
Back
Top Bottom