Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Ni kitu kilekile tu... sema labda katika maana nyingine... kwa mfano ninaposema "yeye ndiye asababishaye kuwapo" inamaana hapo ni mmoja... au MIMI NIKO, inamaana ya kwamba ni mmoja...There are some erros here!
1) YHWH means I am One
2) Yehova = Elohim means The God of them All
Nikirudi katika Yehova-Elohim, Bwana ni Mungu, vyovyote vile itakuwa ni Mungu kwa wote,
Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Kwa muktadha huo kulingana na hiyo verse hapo juu automatically atakuwa ni Mungu kwa wote...