Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Ni kitu kilekile tu... sema labda katika maana nyingine... kwa mfano ninaposema "yeye ndiye asababishaye kuwapo" inamaana hapo ni mmoja... au MIMI NIKO, inamaana ya kwamba ni mmoja...There are some erros here!
1) YHWH means I am One
2) Yehova = Elohim means The God of them All
Ni kitu kilekile tu... sema labda katika maana nyingine... kwa mfano ninaposema "yeye ndiye asababishaye kuwapo" inamaana hapo ni mmoja... au MIMI NIKO, inamaana ya kwamba ni mmoja...
Nikirudi katika Yehova-Elohim, Bwana ni Mungu, vyovyote vile itakuwa ni Mungu kwa wote,
Mwanzo 2:7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Kwa muktadha huo kulingana na hiyo verse hapo juu automatically atakuwa ni Mungu kwa wote...
hivi unajua kua ancient israel kingdom actually ulikua ufalme mdogo sana kieneo?
Kwa hiyo ni wavamizi?.
Lakini hakuna nyota inayoonekana saa moja asubuhi wala saa mbili.na hapa wazi kinachoongelewa ni ile nyota inayoonekanaga asubuhi iking'aa kabla hapajakucha,nyota hii actually ni sayari ya venus ,
Mkuu, Kuna hiyo YHWH ambayo inachanganya, hebu angalia na hizi mkuu... Yehova ipo kwenye Bible... Halafu YHWH inaelezewa kama MIMI NIKO, sijui kwanini imekuwa hivyo!?
Yehova-Elohim Bwana ni Mungu (Wangu) Mwanzo 2:7
Yehova-Jireh Bwana ni mpaji (Mwanzo 22:13-14)
Yehova-Tsidkenu Bwana ni haki (Yeremia 23:6)
Yehova-Ra'ah Bwana ni mchungaji (Zaburi 23:1)
Yehova-Rafa Bwana ni mponyaji (Kutoka 15:26)
Yehova-Shalom Bwana ni amani (Waamuzi 6:24)
Yehova-Nissi Bwana ni bendera (Kutoka 17:15)
El-Shaddai Mungu mwenye enzi (Mwanzo 17:1)
El-Elyon Mungu aliye juu zaidi (Mwanzo 14:18)
El-Roi Mungu aonaye (Mwanzo 16:13)
El-Olam Mungu aishiye milele (Mwanzo 21:33)
There are some erros here!
1) YHWH means I am One
2) Yehova = Elohim means The God of them All
Lakini tofauti na haya,kuna madai kuwa hii Israel tunayoiona leo sio ile ya kale,yaani ile ambayo iko kwenye maandiko ya Biblia,hii ni fake