Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Hiyo Website ni ya kina nani!?

Vipi mbona umeuliza? Kwani we huwa unasoma website za kina nani? Just open it you will find out. Let me tell you one thing, in getting knowledge do not look who gives the knowledge just take it unless otherwise...
 
Kuna web zingine zipo biased yaani zinapenda kuwa brainwash watu, nyingine zimejaa conspiracies, Eiyer analijua hilo... kuna watu wengine ukiwaomba ushahidi basi wanaenda wana google wanakuletea ushahidi halafu wanaamini huo hauna mawaa, yaani wanaamini google... kuna web zingine hazina taarifa zenye ukweli zimejaa propaganda...

Ndio maana nauliza hiyo ni ya kina nani!? Yaani ngojea nikupe mfano nahitaji kujua kitu fulani kuhususiana na Wakatoliki, halafu naenda kwenye web ya Waislam kuchukua huo ushahidi, unadhani nitapata nini!? zaidi ya negativity nyingi...
 
Last edited by a moderator:

So the Jews who you always thought are your brothers and your friends or let's say your masters are now negative because they say about things you don't like. You don't have to blame me for those are not my words. Remember who would boast about knowing better about Jews and Jesus and his Ministry except the Jews!
 
Last edited by a moderator:
Sijamaanisha hivyo, Wayahudi naelewa mtazamo kuhusu Yesu...
 
Mkuu,kabla sijakujibu ningependa kujua kama unakubaliana na hiki ulichokiweka hapa maana inawezekana ukawa umekiweka hapa kama changamoto tu lakini hukubaliani nacho

Nikikujibu bila kujua hili nitakuwa namjibu mtu ambae hata JF haijui kwasababu nadhani ume copy na ku pest!
 
Negativity hizo ni vema ukaziangalia na kuzichallenge if you can. Uyasemayo ni kweli lakini kama nilvyoanza hapo juu unapaswa kuangalia na kama hazina mashiko unatupa kule.

Kwanza challenge nyingi ukipata hoja ya kuzipinga utakuwa na knowledge ya kutosha juu ya kile unacho kiamini. Pamoja sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Waisrael wenyewe wapo wapi mkuu!?

Mkuu, mwaka 66-70 AD, majeshi ya warumi chini ya generali mmoja wa Kirumi na mwanae walivamia yerusalem na kuuwa zaidi ya wakazi 1,000,000 wengine walichukuliwa kama watumwa na kuuzwa Rome The Jewish War and the Destruction of Jerusalem

wakazi ya maeneo hayo waliowengi walitorokea misri ya kuendelea mbele hadi afrika ya magharibi (soma kitabu cha hebriwsims in west africa https://archive.org/details/HebrewismsOfWestAfricaFromNileToNigarWithTheJews

Kwa kifupi hawa ndio wanaotambulika kama africans of BANTU ORIGIN TODAY

Websites nyingi zime-cover issues zao na jinsi Bantu languages (lingala kwa mfano) zilivyo na ufanano na Hebrew language

cc Eiyer,
 
Last edited by a moderator:

Mkuu napenda nikuambie kuwa nimeshangaa sana kwa taarifa hii ...

Sikupingi wala sikubali moja kwa moja,ngoja nisome hicho kitabu kwanza

Dah ......

Mkuu kama hii ni kweli sijui itakuwaje

Am shocked mkuu!
 
Eiyer, first of all I would like to tell you that the source of that information is an educational website that teaches Judaism, it is a Jewish website and there are many like these:

http://www.simpletoremember.com/articles/a/jewsandjesus/

Secondly, I am not Jewish so it is their views, on the other hand I am not Christian either what I was trying to show you is how the Jews depict and hate Christians and yet the Christians are very obsessed with the Jewish people by relating to Jesus as a Jew.
The Jews by their own words and deeds not only hate Jesus and his followers they hate everyone who is not a Jew. Their friendship with anyone is pseudo one and it is entrenched in there laws to lie against anyone who is not a Jew. This is not a hearsay story I have read from their Talmud which is a book that includes the Torah and The Mirdash. I have many times copied and paste the Talmudic writings here in various threads in JF to share with you about the ugly truth of the Jews. The Talmud is not a Sikh book nor is it an Islamic book. So if you want to know more please use the Internet and libraries to do more research and the truth is there. My friend even I say to you I agree with that or not that will nit change anything what I have read in multiplicity not one single orthodox Jewish writings say good about Christianity and Jesus.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nakushukuru kwa busara zako kwenye uandishi wako na kwa namna hii yunaweza kujifunza mengi

Pia nimekuelewa kuwa huo sio mtazamo wako bali ni wa Wayahudi hivyo sina tatizo nao

Mimi ni Mkristo na najua kuwa Wayahudi ndio waliomshitaki Yesu kwa mamlaka ya Rumi kwasababu nyingi tu na mojawapo ni madai yake ya kuwa ndie Masiha,lakini kumbuka hao wayahudi nao ni binadamu kama binadamu wengine na wana matatizo ya kibinadamu kama wengine,suala lao la kuwachukia wanadamu wengine ni suala la kawaida sana na wala sio kipya,kama nitaamua kuwatetea wayahudi kwasababu mimi ni Mkristo sitakuwa nimejitendea haki,kama ni ubaguzi wanao kama vile ambavyo wanao watu wengine

Pamoja na hayo,hakuna namna yoyote ile ambayo tunaweza kuifanya ili Yesu asiwe Myahudi hilo ni kweli,pia pamoja na hayo hatuwezi kukana kuwa Mungu alilitumia taifa la Israel kwa mambo mengi na kwa mujibu wa imani ya Kikristo ndilo taifa ambalo lilimtoa Masihi na mkombozi wa Ulimwengu,wao kama wanamchukia au hawamkubali hilo li suala lao na hata Yesu mwenyewe analijua hilo hata kabla hajaja hapa duniani hivyo sio jipya,sina hakika kama ni kweli kuwa Wayahudi wanawachukia watu fulani kwasababu ya imani yao ila kwa mujibu wa watu ambao wamekwenda huko sijasikia hii

Lakini Punjab,kuna jambo la kujiuliza,kama kweli hawa watu wanamchukia Yesu na Ukristo kwa kiasi kikubwa hivi ni kwanini wamehifadhi yale maeneo muhimu kwenye Ukristo hadi leo? Mfano pale ambapo alisulubiwa,alipozikwa,aliposimama muda mchache kabla hajapaa n,k,haya yote ni kwaajili ya nini? kwanini wameyahifadhi hadi leo na wanayalinda? Sijui kama unalijua hili lakini kuna jamaa yangu ambae alikwenda huko kwaajili ya kuona maeneo hayo na alikuta kuna Myahudi ambae ndio alikuwa akiwaelezea kuwa hapa ni wapi na kulitokea nini na walisema kuwa hawa jamaa ni wakarim ajabu,sasa sijui haya madai yanatoka wapi,au unataka kudai kuwa wameyaweka kwasababu za kibiashara? Sidhani

Sina ufahamui sana kuhusu vitabu vya dini ya kiyahudi lakini kwakuwa naijua Torati naweza kusema hakuna hiki amba cho watu wanadai hapa,sasa hayo maandiko mengine sijui yalikotoka hivyo siwezi kuyasemea,nitafanya uchunguzi kuyahusu!
 
Mkuu, naona hii ni kama hadithi kulingana na hayo maelezo, Wabantu!!??
 
Umeangalia souce lakini?hata kama iko pasted
 
Ktk mijadala mingi niliyoiona hapa jf mjadala huu umekuwa wa kiungwana na wa kuelimishana zaidi kuliko mingine nilikuwa nikiifuatilia kwa ukaribu. Ktk mjadala huu wengi na sio wote wamekuwa fare hasa pale knoledge mpya inapotolewa.

I have learnt a lot through this topic about jews. Kwa kweli waisrael wa leo wanatia shaka sana kuwalinganisha na wale wanaosimuliwa kwenye vitabu vya dini. Kila jambo lenye athari za kijamii, kiuchumi, kisiasa kiteknolojia lina mkono wa muisrael. Najiuliza ni kwanini sipati majibu. Hata familia ya Rockfeller chimbuko lao ni israel. Dah! Kweli hawa jamaa wana baraka za Mungu athough wanazitumia vibaya wakati mwingine.
 
Mkuu napenda nikuambie kuwa nimeshangaa sana kwa taarifa hii ...

Sikupingi wala sikubali moja kwa moja,ngoja nisome hicho kitabu kwanza

Dah ......

Mkuu kama hii ni kweli sijui itakuwaje

Am shocked mkuu!

mkuu, hii ni mada ngumu na ndefu sana. hata mimi mwanzoni ilini-affect sana. lakini ukitulia unaanza kugundua mambo fulani yenye ukweli.

1. katika vitabu (attributed to Moses) kuna mahali waisrael walimkosea Mungu kwa ukaidi wao. Wakati huo wameshatoka Misri. Musa aliwaambia kwa utovu ule, basi Bwana Mungu anawatangazia kuwa atawarudisha utumwani Misri KWA MELI (Deutronomy 26:68).
And the Lord shall bring thee into Egypt againe, with ships, by the way whereof I spake unto thee, Thou shalt see it no more againe: and there ye shall bee sold unto your enemies for bondmen, and bondwomen, and no man shall buy you.
- King James Version (1611)

Wafasiri wengi wemetafsri neno Misri katika aya hii kama UTUMWANI.

Kisha (Deutronomy 28:22)

…21"The LORD will make the pestilence cling to you until He has consumed you from the land where you are entering to possess it. 22"The LORD will smite you with consumption and with fever and with inflammation and with fiery heat and with the sword and with blight and with mildew, and they will pursue you until you perish.23

Deutronomy 28:45
…44"He shall lend to you, but you will not lend to him; he shall be the head, and you will be the tail. 45"So all these curses shall come on you and pursue you and overtake you until you are destroyed, because you would not obey the LORD your God by keeping His commandments and His statutes which He commanded you.46"They shall become a sign and a wonder on you and your descendants forever.

2. Isaiah 11: 11-12 inazungumzia Mungu kuwakusanya hao wayahudi

Then it will happen on that day that the Lord Will again recover the second time with His hand The remnant of His people, who will remain, From Assyria, Egypt, Pathros, Cush, Elam, Shinar, Hamath, And from the islands of the sea.12And He will lift up a standard for the nations And assemble the banished ones of Israel, And will gather the dispersed of Judah From the four corners of the earth.

Mwelekeo wa aya hizi ni kwamba hao Israel watapelekwa utumwani KWA MELI hadi maeneo mengi duniani. Huko Watauzwa kwa thamani ndogo sana hadi bure. Kisha wanaahidiwa kila madhila kuanzia ufukara, udhalili, maradhi mazito hadi hapo Mungu atakapowawia radhi na kuwakusanya upya toka pembe zote za dunia.

Mkuu, wayahudi walikuwa weusi, waliuwawa kwa wingi mwaka 70AD, wengi walitorokea africa (search Lemba tribe of south africa). How comes kibantu (eg lingala) kina similarity na hebrew language? How comes wabantu wana customes za tohara, kurithi mke wa marehemu kaka, kufanya mambo yao based on lunar calendar, wanajitenga na kina mama pindi mke anapokuwa katika siku zake? Historia inatuambia wabantu walianzia kwenye misitu ya afrika magharibi hususan Cameroon. Tukubali. Lakini Mji mkuu wa cameroon Yauonde ukiondoa hiyo N utajikuta unatamka YAHUDI. Na waandishi wa kiarabu walishaandika uwepo wa wayahudi maeneo ya africa magharibi. Kabla ya wazungu kufika huko.

Ni wabantu peke yao ambao walipelekwa UTUMWANI kilakona ya dunia KWA MELI (marekani kaskazini na kusini, arabia, india na visiwa kibao across the world) tokea africa magharibi, kusini, kati, na afrika mashariki (husikii wasio wabantu kama wamasai au wajaluo kupelekwa utumwani)

Ni wabantu peke yao ambao hadi leo wamekuwa chimbuko la maradhi ya kutisha (HIV, Ebola nk)

Ni wabantu pekee ambao nchi zao wanaporwa raslimali na haziwasaidii kitu

Wabantu wamebaki dhalili na maskini wa kutupwa pamoja na raslimali kuwazunguka. On the other hand hakuna matajiri kama hao wanaojiita Wayahudi wa sasa contrary to this prophecy (Hollywood, banks nk)

Wabantu ni lukuki, hali ya kuwa current jews ni wachache. Ndio maana nikamuuliza bwana mmoja humu JF kuwa kama ahadi ilikuwa kuwafanya uzao wa Isaack kuwa kama mchanga kwa wingi then, how comes 4-5000 years later eti uzao wa issack (wayahudi) hawafiki 20 Milion akanijibu kuwa Hittler aliwauwa wengi. Sio kweli.

Hawa wa sasa huko palestine ni FEKI, ni bandia tena kwa ushahidi wa DNA

"Jews" Are Not Descendants of Abraham

cc Mkuu wa chuo,
 
Mkuu Wickama hebu check kwanza hiyo Deuteronomy 26:68 urekebishe, maana hiyo verse ya Deuteronomy 26:68 haipo...

Tukirudi, nadhani Wahabeshi sio Wabantu unaweza nirekebisha... Na Wayahudi wengine ni Wa Ethiopia, Hebu nipe hapo inakuwa vipi hapo, japokuwa najua chimbuko la wale Wayahudi wa Ethiopia ni Mfalme Solomon na Malkia wa Sheba, Unawaongelea vipi hao Wayahudi wa Ethiopia!?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…