mkuu, hii ni mada ngumu na ndefu sana. hata mimi mwanzoni ilini-affect sana. lakini ukitulia unaanza kugundua mambo fulani yenye ukweli.
1. katika vitabu (attributed to Moses) kuna mahali waisrael walimkosea Mungu kwa ukaidi wao. Wakati huo wameshatoka Misri. Musa aliwaambia kwa utovu ule, basi Bwana Mungu anawatangazia kuwa atawarudisha utumwani Misri KWA MELI (Deutronomy 26:68).
And the Lord shall bring thee into Egypt againe, with ships, by the way whereof I spake unto thee, Thou shalt see it no more againe: and there ye shall bee sold unto your enemies for bondmen, and bondwomen, and no man shall buy you.
- King James Version (1611)
Wafasiri wengi wemetafsri neno Misri katika aya hii kama UTUMWANI.
Kisha (Deutronomy 28:22)
21"The LORD will make the pestilence cling to you until He has consumed you from the land where you are entering to possess it. 22"The LORD will smite you with consumption and with fever and with inflammation and with fiery heat and with the sword and with blight and with mildew, and they will pursue you until you perish.23
Deutronomy 28:45
44"He shall lend to you, but you will not lend to him; he shall be the head, and you will be the tail. 45"So all these curses shall come on you and pursue you and overtake you until you are destroyed, because you would not obey the LORD your God by keeping His commandments and His statutes which He commanded you.46"They shall become a sign and a wonder on you and your descendants forever.
2. Isaiah 11: 11-12 inazungumzia Mungu kuwakusanya hao wayahudi
Then it will happen on that day that the Lord Will again recover the second time with His hand The remnant of His people, who will remain, From Assyria, Egypt, Pathros, Cush, Elam, Shinar, Hamath, And from the islands of the sea.12And He will lift up a standard for the nations And assemble the banished ones of Israel, And will gather the dispersed of Judah From the four corners of the earth.
Mwelekeo wa aya hizi ni kwamba hao Israel watapelekwa utumwani KWA MELI hadi maeneo mengi duniani. Huko Watauzwa kwa thamani ndogo sana hadi bure. Kisha wanaahidiwa kila madhila kuanzia ufukara, udhalili, maradhi mazito hadi hapo Mungu atakapowawia radhi na kuwakusanya upya toka pembe zote za dunia.
Mkuu, wayahudi walikuwa weusi, waliuwawa kwa wingi mwaka 70AD, wengi walitorokea africa (search Lemba tribe of south africa). How comes kibantu (eg lingala) kina similarity na hebrew language? How comes wabantu wana customes za tohara, kurithi mke wa marehemu kaka, kufanya mambo yao based on lunar calendar, wanajitenga na kina mama pindi mke anapokuwa katika siku zake? Historia inatuambia wabantu walianzia kwenye misitu ya afrika magharibi hususan Cameroon. Tukubali. Lakini Mji mkuu wa cameroon Yauonde ukiondoa hiyo N utajikuta unatamka YAHUDI. Na waandishi wa kiarabu walishaandika uwepo wa wayahudi maeneo ya africa magharibi. Kabla ya wazungu kufika huko.
Ni wabantu peke yao ambao walipelekwa UTUMWANI kilakona ya dunia KWA MELI (marekani kaskazini na kusini, arabia, india na visiwa kibao across the world) tokea africa magharibi, kusini, kati, na afrika mashariki (husikii wasio wabantu kama wamasai au wajaluo kupelekwa utumwani)
Ni wabantu peke yao ambao hadi leo wamekuwa chimbuko la maradhi ya kutisha (HIV, Ebola nk)
Ni wabantu pekee ambao nchi zao wanaporwa raslimali na haziwasaidii kitu
Wabantu wamebaki dhalili na maskini wa kutupwa pamoja na raslimali kuwazunguka. On the other hand hakuna matajiri kama hao wanaojiita Wayahudi wa sasa contrary to this prophecy (Hollywood, banks nk)
Wabantu ni lukuki, hali ya kuwa current jews ni wachache. Ndio maana nikamuuliza bwana mmoja humu JF kuwa kama ahadi ilikuwa kuwafanya uzao wa Isaack kuwa kama mchanga kwa wingi then, how comes 4-5000 years later eti uzao wa issack (wayahudi) hawafiki 20 Milion akanijibu kuwa Hittler aliwauwa wengi. Sio kweli.
Hawa wa sasa huko palestine ni FEKI, ni bandia tena kwa ushahidi wa DNA
"Jews" Are Not Descendants of Abraham
cc
Mkuu wa chuo,