Race for Ballali’s seat hots up

Race for Ballali’s seat hots up

Dua,Mtanzania,
Kwa katiba yetu kazi ya kuteua Gavana wa benki kuu ni prerogative ya rais. Hiyo si kazi ya kugombea. Labda tuwe na utaratibu kama wa Marekani ambapo rais anamchagua na bunge linaidhinisha. Lakini kwa sasa rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua gavana mpya. Hii si kazi ya kugombewa. Na hao wanaoigombea hivi sasa sidhani hata mmoja wao ataipata. If I was a betting man I would put my money on Beno. Ameeleza vizuri Pundit. And just for the info Daudi Balali is one l...siyo Ballali as some papers have been writing.
 
Haswa! upo sahihi kabisa JK anawapendelea sana waislam na kawajaza ktk nafasi zote na hii naamini atapewa mvaa baraghashia tu..

Masatu naamini hapa wataka tu kutuchekesha! Vipi na miye nianze kuvaa kibaraghashia labda nitaukwaa japo unaibu waziri? Teh teh teh!!!!!!!
 
Haswa! upo sahihi kabisa JK anawapendelea sana waislam na kawajaza ktk nafasi zote na hii naamini atapewa mvaa baraghashia tu..

This is a derogatory statement to Muslims. You sound more of an uninformed ethnocentrist than a critical, analytical and an informed consumer of information you have made us to perceive. There is no need to show us that your culture is better than others. You can do better than that Masatu.
 
Hivii jamani ni kweli yawezekana mtu mkubwa kama BAlali alazwe hospitalini miezi yoote hiyo tusionyeshwe hata picha zake akiwa kitandani??na hivi huyu mheshimiwa anavyoenda marekani kila wakati kweli asingehata mtembelea then tuonyeshwe picha??mie sitaki kuamini kabsaa serikali isitufanye sie wajinga na watoto
 
halafu kuhusiana na huyo Prof.Ndulu na mie nshaanza ku feel lazma kuna ka mpango ka kuandaliwa kalikwepo na ndiye hasaa atakua next Balali sasa sijui ata mrithi kila kitu hadi tabia!?au na yeye atataka aje aukate kama mwenziye!!!
 
atafutwe mzanzibari mmoja apewe kwani zamu yao au vipi.
kwani kiujumla imekuja onekana wa-zanzibari ni watendaji wazuri sana and zaidi ni waaminifu.
mfano abdul salam,dr omer ali juma(marehemu),omer yussuf etc.
 
atafutwe mzanzibari mmoja apewe kwani zamu yao au vipi.
kwani kiujumla imekuja onekana wa-zanzibari ni watendaji wazuri sana and zaidi ni waaminifu.
mfano abdul salam,dr omer ali juma(marehemu),omer yussuf etc.

hapana hapana hapanaaaaaa Mr.nanihiii huko unakotaka kutupeleka siko kabsaaaaa
 
Beno ni mwanauchumi aliyebobea katika medani za kimataifa. Baadhi ya wachangiaji walivyomuelezea hapo juu ni sahihi. Kwa kuongezea tu, huyu jamaa aliwahi kuwa mshauri wa Thabo mbeki katika nyanja za uchumi. Makabrasha yangu yanaonyesha kuwa Beno ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kwanza wa TRA board chini ya Ben mkapa.

Kama atabahatika kupata hiyo nafasi (dalili zinaonyesha hivyo), basi hana budi kucheza muziki kwa kufuata style ya mabosi wake--kikwete,lowasa, Meghji/rostam. Akicheza muziki tofauti na wenzake, atakuwa anajitafutia tiketi ya kwenda Boston kwa ajili ya matibabu.
 
Halisi said:
Jamani nani anakumbuka kwamba Ndulu na marehemu Sanare walishiriki kuunda TRA wakati huo JK akiwa Waziri wa Fedha na walifanya kazi hiyo kwa karibu sana. Hebu tukumbushane kwa hilo

Halisi,

naona hapo mnajaribu kumbebesha JK sifa ambazo si zake. Muundo wa TRA ni mapendekezo ya Tume ya Raisi iliyoongozwa na Edwin Mtei.
 
saa zingine huwa nawashangaa sana wana JF na outlooks zao

Hivi bado mnaangalia mambo ya dini tuu?

Upande wangu hata aingie FREEMASON i dont care, what i care ni mtendaji kazi mzuri na mwenye kufuata maadili

Halafu nawashangaa mnajidai hamjui tatizo liko wapi pale hata mneichukua timu nzima ya University fo chicago na WORLD BANK nzima haito ondoa matatizo ya kiuchumi ya Tanzania

so lets have an informed debate kwa kuangalia kiini cha matatizo pale BOT kiko wapi na jinsi gani ya kutatua huo ugonjwa badala ya kuja humu na simplisti arguments eti mtu muislam mara ohh alikuwa World Bank

what a load of crap!

mbona hamtaki kuzungumzia transparency kule Haina, BOT na jinsi wanasiasa wanvyoingia utendaji wa kazi wa hao jamaa wanaoteuliwa kushika hizo nafasi?

JF you can do better than these stupid episodes
 
Mtaalam.....

kwa nn unasema hivyo?hiyo BoT hata wa-znz wana hisa zao ama vipi?

ndio sikatai kuwa wana hisa zao atii ila tukianza kusema now apewe mtu wa eneo flani basi hata wamakonde kesho kutwa nasi tutaja dai na sie tuna hisa zetu pale tupewe u gavana!!
 
Mimi nadhani kuna vigezo 2 vikubwa kwa mtu kuwa Gavana sasa
1.Muislam
2.Mshikaji

Mwisho wa yote ni hapo juu
 
Back
Top Bottom