Rachel akana kutelekezwa na mwanaume Uarabuni



Mkuu huu ulioandika hapa ni utumbo tu.
 
Mkuu huu ulioandika hapa ni utumbo tu.
Huo ni mtazamo wako, hapa dunian jua hauishi peke yako wala na ndugu zako kuna kila aina ya mazur na mabaya. Inategemea wewe unajiwekaje, ukijifanya umepinda duniani, watakupinda na ukijifanya waluwalu ipo cku utalaluliwa, ni swala la muda tu. Unatetea ujinga kwa kivuli cha ugentleman? Hata Bible imeonya ktk Zaburi 1 kuwa ''Heri mtu yule asikwenda ktk shauri la wasio haki wala hakusimama ktk njia ya wakosaji na wala hakuketi barazani pa wenye mizaha''. Ss unaenda kupigwa bia, unachekelea af unapigwa mtungo unalilia serikali. Umeshawahi kusikia kahaba anashtaki kubakwa au kupigwa mtungo? Hizo ni changamoto tu za kazi.
 


Man, achana na mimi. Kama unataka kuandika utumbo wako endelea lakini usini-quote tafadhari.
 
Hivi vijitu vinavyopenda starehe wakati havina pesa za kufanya hayo matanuzi hata ukisikia vimeliwa na fisi humo huwezi lia...
Ashukuru karudi hai vinginevyo tungeongea maengina hapa.
 
Ndio maana nikasema achana na mimi. Usiniharibie weekend yangu bure. Unaweza kujadili bila kuni-quote.
Ok pole mkuu km ni kitu kilichowahi tokea upande wako, ila ni vitu ambavyo vipo, tumevikuuta na tutaviacha hayakuanza leo na wala ucant stop kwa busara zako. So ni swala la ww kuepuka ya dunia, ya dunia hayawezi kukuepuka ww. Hicho ndo nilichokua namaanisha, japo umeona ni pumba kwa mtazamo wako.
 


Hata mamaako yalimtokea, we unafikiri ulizaliwa bila bi mkubwa wako kutoa mbwa?
 
Hizo Photoshop zinaweza kukufanya ukaamini kuwa recho ni Sawa na Nick Minaj ila ukionana nae ni kama Yule Comedian "Defender" Mungu amlaze mahala panapositahili.
 
Amekwambia walio fanya hayo si ma gentlemen, kwa sababu yoyote ile mwenye hekima na busara hawezi kubaka tena kwa mtungo. Ni uchizi tu ulio wajaa na ushamba hao madereva. Mwanaume hata wa kuku hapendi kushea, inatokea tu kwa mazingira, sio uamuzi wake. Gang rape ni uamuzi wa kijinga sana kwa karne hii.
 
Na wewe unashiriki hizo mambo? Hakuna kitu kisichokwenda na wakati. Kwa wakati huu, hakuna sababu za gang rape wakati kila mwanaume ana fursa ya kudo hata kwa fadha, umekosa elfu kumi ya kununua mwanamke amaa? Ujinga wa kishamba sana, usiwaunge mkono hao.
 
Na Bible pia umeiquote, wanaolaumu humu hawamtetei huyo mwanamke, wanawalaani hao wanaume haswa yule aliyemchukua wa kwanza, kwa ushamba wake na wenzake pia. Sio dili kwa karne hii mtu kujisifia mtungo wala kuushiriki kabisa. Ushamba na kutojitambua. Dereva wa lori zaidi ya Ushamba wake angeshindwaje kuwa na hela ya kumnunua Malaya wake?
 
Pumba kwakuwa umetetea uwepo wake, we are the world, we are the only ones to change the world. Ujinga na Ushamba wa kikale hata kama upo lazima tuukandamize, wakurya na Masai wanaacha tohara kwa wanawake, yapi mengine ya kushikiliwa? Aids na ustaraarabu is against gang rape.
 
Sio sifa kabisa. Wakaona sifa kumpiga mtungo wasubirie na wao ukimwi uwapige mtungo
 
Mm ctetei ujinga uliofanywa kwa Rachel, nmeponda life style ya dada zetu wakidhani kila mtu ni mstaarabu. Mtu mtu mnaeanza mahusiano km mpenz hawez kufanya hayo, yeye alichukuliwa km mlupo au malaya, so any thing could happen. Tafuta malaya wakwambie yanayo wakuta. Kwa swala la maadili duniani, kila siku ndo yanazidi kuporomoka ila nyie mnasema yamepitwa na wakati wkt watoto wanakua wanaangalia video chafu mtandaoni unafikili baadae wanakuwaje? Mama mkanye mwanao, huwezi ibadilisha dunia hii kwa busara zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…