mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Mm cungi mkono, nimejaribu kuelezea real situation iliyopo mitaani, labda ndo kosa langu. Lkn niliyasema kwa faida maana tunaish mazingira tofauti, ww unaishi mazingira ya waliostaarabika lkn huku linapgwa baikoko dada anavua nguo zote na watoto na wazaz wapo. So huwez change this worl wkt fadhili wake mkubwa ni shetani. Unasema et malaya elfu10 miaka hii, kwani ni miaka gani kulikuwa na mtungo kwasababu malaya hawakuwepo?
Na weweweweshiriki hizo mambo? Hakuna kitu kisichokwenda na wakati. Kwa wakati huu, hakuna sababu za gang rape wakati kila mwanaume ana fursa ya kudo hata kwa fadha, umekosa elfu kumi ya kununua mwanamke amaa? Ujinga wa kishamba sana, usiwaunge mkono hao.