Rachel akana kutelekezwa na mwanaume Uarabuni

Mm cungi mkono, nimejaribu kuelezea real situation iliyopo mitaani, labda ndo kosa langu. Lkn niliyasema kwa faida maana tunaish mazingira tofauti, ww unaishi mazingira ya waliostaarabika lkn huku linapgwa baikoko dada anavua nguo zote na watoto na wazaz wapo. So huwez change this worl wkt fadhili wake mkubwa ni shetani. Unasema et malaya elfu10 miaka hii, kwani ni miaka gani kulikuwa na mtungo kwasababu malaya hawakuwepo?
 
Naiquote tena''mlee mtoto katika njia impasayo nae hata iacha hata akiwa mzee. Hizo zilikua ni hekima za Suleiman ktk kitabu cha Mithali. So tuwalee watotowetu ktk njia impendezayo Mungu, wakitushinda tumuachie Mungu lkn kuhangaika na watu wa dunia ni kujisumbua tu, mitume na manabii walishindwa na Mungu katuahidi maisha meengine baada ya haya kwakua alishaiona Dunia haina maana. Ubakaji na umalaya ni aina ya uzinzi, ulikiwepo, upo na utaendelea kuwepo
 
Na huu ndio unakuwaga mwisho wa wasanii wa Ruge
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.....Zama hizi wanatia demu mtungo?..majinga hayo majamaa aisee..
ushaambiwa madereva wa malori

halafu wanajisifu eti

wana wadogo zao wa kike, watoto wao, mama zao n.k wanafanya ujinga wanajisifu
 
Asante kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…