Rachel Dangwa karudi hewani kaanzia alipoishia

Mifugo ilizidi mwilini akadondosha gari, naona wamempiga masolotepu sasa hivi yanatepeta anaangusha gari mazima
 
ok.
na ile porojo yenu ya drama dhidi yake mmeiweka pembeni right?

mmejidharaueee?πŸ’
Kuna jamaa yenu yule mwenye macho mekundu na Faktari mpauko walikuwa wakijinasibu kumuweka kibindoni na kupongeza apotezwe 😹😹
 
Michadema ndio tegemeo lao uyo Bidada kichaaa
baada WAZUNGU kuonekana wamewapuuza Chadomo !!!
 
Kwao Chadema wapotayali kumpa na Ubunge uyo Bi Dada

Chadema wanaokota chochote wanaweka mfukoni πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…