Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Ni kukunja na kukunjua tumefika dk 0 tu mkuu 😂 😂 😂
Ni kukunja na kukunjua tumefika dk 0 tu mkuu 😂 😂 😂
Namuamuru Rachel Dangwa aache mara Moja kumtusi daktari Samia suluhu (PhD)
Kama wewe hapo unaishi kumwabudu Samia, si ni bora mara dufu ya hao unaowananga hapa?Kwao Chadema wapotayali kumpa na Ubunge uyo Bi Dada
Chadema wanaokota chochote wanaweka mfukoni 😀
Kuna lichoko moja liliandika humu kuwa amekamatwa yuko sehemu salama, naamini halitaonekana tena humu jf.Kaja na kuanzia alipoishia. MAccm kazi mnayo.
View attachment 3692584
machoko yamechanganyikiwa.ok.
na ile porojo yenu ya drama dhidi yake mmeiweka pembeni right?
mmejidharaueee?🐒
Vipi libwabwa umepatafrustration baada ya kumuona Racho.Michadema ndio tegemeo lao uyo Bidada kichaaa
baada WAZUNGU kuonekana wamewapuuza Chadomo !!!