DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Rachel Mashishanga amechukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UWT Mkoa wa Morogoro, kwenye ofisi za UWT Mkoa wa Morogoro.
Katibu wa UWT Mkoa wa Morogoro ndugu Mwajabu Maguluko amempokea Rachel Mashishanga na kumpatia fomu hiyo Kwa ajili ya kukamilisha utaratibu wa kuijaza.
Rachel Mashishanga atakuwa miongoni mwa watia nia wanaowania nafasi hiyo.
Hatua hiyo ni mchakato wa awali kuelekea utaratibu wa chama ambao utahusisha uteuzi utakaofanywa na vikao vya chama Cha mapinduzi taifa na kupigiwa na mkutano mkuu.