GE2025 Rachel Mashishanga amechukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UWT Mkoa wa Morogoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rachel Mashishanga amechukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UWT Mkoa wa Morogoro, kwenye ofisi za UWT Mkoa wa Morogoro.

Katibu wa UWT Mkoa wa Morogoro ndugu Mwajabu Maguluko amempokea Rachel Mashishanga na kumpatia fomu hiyo Kwa ajili ya kukamilisha utaratibu wa kuijaza.

Rachel Mashishanga atakuwa miongoni mwa watia nia wanaowania nafasi hiyo.

Hatua hiyo ni mchakato wa awali kuelekea utaratibu wa chama ambao utahusisha uteuzi utakaofanywa na vikao vya chama Cha mapinduzi taifa na kupigiwa na mkutano mkuu.
 
AlikuwaGA Chadema huyu. Sijui Chadema kuna nini!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Maana sasa hivi mwanamke aliyebaki huko mwenye akili za kubabaisha ni Erythrocyte tu! Ahahahahaha!!
 
Huyu atakuwa ni mtoto wa mzee steven mashishanga mkuu wa mkoa wa Tabora zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…