Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Wanawake bwana, ukiwaona hao kina Linda Bente na Rachel ni warembo lakini hayo matusi wanayotukana ni hatari lakini ukikutana nao kama sio wao.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Ila ile ya mapya 2 imenifunza ni nani mgeni wa kumuuliza kwako na kukaa nae, si kwa pichu zile na kuhesabiwa chips.
Halafu sasa unaweza kukuta siyo pichu za Mange. Halafu ile mapya 2 yeye anamtukana tuu Mange kwa sababu watu wanamjua.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata kama mna tofauti zenu si kwa kuanikana kule
Ila binadamu ndivyo tulivyo siku mkiamua kudhalilishana.
Nasikia walishindwana sijui mishahara bibiye akaamua kuondoka.
Sasa sijui anafanya kazi saa ngapi naskin maana anasubiri Mange a post ili amkosoe. Yaani kafungua account kwa ajili ya mama kenzo tuu.
siku hizi kaweka private nashindwaga kumview.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Shost wa ughaibuni alikuwa anataka kumtoa mtu bongo wa kumlelea watoto, nilimpa hii sakata mwisho aliniambia asante nitajipiga kazini niwalipe hao wajamaica. Binadamu tun atakuwa kusamehe sasa pale hajukikani mama mdogo ni nani mtoto ni nani.
 
Orodha ninayotaman waanikwe au waumbuke
bi chaunabe
Umbeatz
Katibu wawambea
Baby.ake
Theshadechamber
Coffee table
Kabikra wa fm
Limaolinakuusu
Dullersquare
Na wengineo,waanze kuumbuka kwanza hawa wengine wafuatie
 
Nataman kuleta Ila simu inaniletea mizinguo ya screen overlay detected,nimejaribu settings imeshindikana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sikia leta ile ya mhenga wa siku za mwizi
Ila kipazasauti kuna kipind alizid kudhalilisha watu,MTU anatukana had marehemu jaman tens ambaye bado hajazikwa
 
Nataman kuleta Ila simu inaniletea mizinguo ya screen overlay detected,nimejaribu settings imeshindikana

Ila kipazasauti kuna kipind alizid kudhalilisha watu,MTU anatukana had marehemu jaman tens ambaye bado hajazikwa
[emoji3] pole best ila yule dada jamani sijui ana nini alikua anatukana mpk watu wake wa karibu aiseeehh
juzi kamrusha wolper na kib10 chake [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji108] huku wanaitana mabinamuu

aibu yake sio ya nchi hii

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Orodha ninayotaman waanikwe au waumbuke
bi chaunabe
Umbeatz
Katibu wawambea
Baby.ake
Theshadechamber
Coffee table
Kabikra wa fm
Limaolinakuusu
Dullersquare
Na wengineo,waanze kuumbuka kwanza hawa wengine wafuatie
umemsahau malkia wa kuchambwa

nataka shari

kimbwimbwi
zari is my choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…