Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu sasa unaweza kukuta siyo pichu za Mange. Halafu ile mapya 2 yeye anamtukana tuu Mange kwa sababu watu wanamjua.Ila ile ya mapya 2 imenifunza ni nani mgeni wa kumuuliza kwako na kukaa nae, si kwa pichu zile na kuhesabiwa chips.
Chagga kapanic anamwombea mwenzake kifo.Mkuu hii ni kaidi
Yaani hata kama mna tofauti zenu si kwa kuanikana kuleHalafu sasa unaweza kukuta siyo pichu za Mange. Halafu ile mapya 2 yeye anamtukana tuu Mange kwa sababu watu wanamjua.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
TempestitouslyA/c ya kawaida anatumia jina gani ukiachana na fekero yake
Ila binadamu ndivyo tulivyo siku mkiamua kudhalilishana.Yaani hata kama mna tofauti zenu si kwa kuanikana kule
Shost wa ughaibuni alikuwa anataka kumtoa mtu bongo wa kumlelea watoto, nilimpa hii sakata mwisho aliniambia asante nitajipiga kazini niwalipe hao wajamaica. Binadamu tun atakuwa kusamehe sasa pale hajukikani mama mdogo ni nani mtoto ni nani.Ila binadamu ndivyo tulivyo siku mkiamua kudhalilishana.
Nasikia walishindwana sijui mishahara bibiye akaamua kuondoka.
Sasa sijui anafanya kazi saa ngapi naskin maana anasubiri Mange a post ili amkosoe. Yaani kafungua account kwa ajili ya mama kenzo tuu.
siku hizi kaweka private nashindwaga kumview.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Si ndio kasahsu simu gani ilikuwa na fekeroHana akili
Angetumia simu nyingine kabisa ya kufanya hiyo kazi ya udaku.
Si ukampime?sijampima mkuu .ila alichambwa sana huko
Ila kipazasauti kuna kipind alizid kudhalilisha watu,MTU anatukana had marehemu jaman tens ambaye bado hajazikwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sikia leta ile ya mhenga wa siku za mwizi
[emoji3] pole best ila yule dada jamani sijui ana nini alikua anatukana mpk watu wake wa karibu aiseeehhNataman kuleta Ila simu inaniletea mizinguo ya screen overlay detected,nimejaribu settings imeshindikana
Ila kipazasauti kuna kipind alizid kudhalilisha watu,MTU anatukana had marehemu jaman tens ambaye bado hajazikwa
umemsahau malkia wa kuchambwaOrodha ninayotaman waanikwe au waumbuke
bi chaunabe
Umbeatz
Katibu wawambea
Baby.ake
Theshadechamber
Coffee table
Kabikra wa fm
Limaolinakuusu
Dullersquare
Na wengineo,waanze kuumbuka kwanza hawa wengine wafuatie