This is too low for you my friend to deal with...
Halafu huwezi amini huyo mapya si dada Zenat na hajawahi kukaa na Mange ila ni jamaa wa dada Zenat nilikutana msibani na huyo Zenat jina lake halisi ni Asha hajui hata kinachoendelea mtandaoni maisha ya Magu yanamchanganya hana muda na maisha ya Mange ndo nikajua kichaa si lazma avue nguoIla binadamu ndivyo tulivyo siku mkiamua kudhalilishana.
Nasikia walishindwana sijui mishahara bibiye akaamua kuondoka.
Sasa sijui anafanya kazi saa ngapi naskin maana anasubiri Mange a post ili amkosoe. Yaani kafungua account kwa ajili ya mama kenzo tuu.
siku hizi kaweka private nashindwaga kumview.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
recho kamzidi mange kusema kweli.
Application hali mbaya soon inazimika[emoji3] [emoji3] [emoji3] boss wake yule mbona anamsaidia kumroga majay...
lulu wa kawaida sio mzuri wa vile zile picha zinaeditiwa haswaa...
team wema akili hawana hata kidogo..badala wapromoti application yake wao kazi matusi
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Hajaumbuka huyo, alikuwa kaamua kujilipua tu watu tumjue zaidi.
Ni njia mpya za kutafuta mabwana, sasa akijificha mabwana watamjuaje?
Ona hata mimi nilikuwa simjui sasa nimemjua.
Lakinimi hanipati, Bi Zuhura kashaniwahi.
Aibu yao jaman kumbe watu wanaotukana tunawaona wa maanaMakubwaaa,mjini patamuu
Bado zile timu fekero za matusi wataanza julikana mmoja baada ya mwingine.
Sijawaigi kuifollow hiyo acc ya rachel aisee mpaka chagababe ametukanwa
Nimecheka sana sijui itakuwaje mzee akijisahau InstaLiveTusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
Hivi malkia wa kuchamba huwa anatukana? sijawahi kumshuhudia siku hizi naona yuko bize na ushirikina wa limbwata nadhani soon atakuwa mganga wa kienyeji
[emoji1] shoga nshaumbuka humu@Bony alinishtua wasap fasta nkaremove weee usiombe kukutwa ilikaa kama nusu saa hv...!!!ni kua makini tu usikutwe
Aibu yao jaman kumbe watu wanaotukana tunawaona wa maana
Hilo beef lao linahusu nini?Mi nilijua yalishaisha
Sent from my HUAWEI RIO-AL00 using JamiiForums mobile app
Naisubir kwa hamu picha ya huyu muhengaKweli wahenga waliona mbali jamaan
Orodha ninayotaman waanikwe au waumbuke
bi chaunabe
Umbeatz
Katibu wawambea
Baby.ake
Theshadechamber
Coffee table
Kabikra wa fm
Limaolinakuusu
Dullersquare
Na wengineo,waanze kuumbuka kwanza hawa wengine wafuatie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] shoga nshaumbuka humu@Bony alinishtua wasap fasta nkaremove weee usiombe kukutwa ilikaa kama nusu saa hv...!!!ni kua makini tu usikutwe