Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Jaman mbona account yamange siipati tena au ndo ameniblock sijawai kumdiss wala kumtukana nampenda kinoma nisaidien

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Ila binadamu ndivyo tulivyo siku mkiamua kudhalilishana.
Nasikia walishindwana sijui mishahara bibiye akaamua kuondoka.
Sasa sijui anafanya kazi saa ngapi naskin maana anasubiri Mange a post ili amkosoe. Yaani kafungua account kwa ajili ya mama kenzo tuu.
siku hizi kaweka private nashindwaga kumview.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Halafu huwezi amini huyo mapya si dada Zenat na hajawahi kukaa na Mange ila ni jamaa wa dada Zenat nilikutana msibani na huyo Zenat jina lake halisi ni Asha hajui hata kinachoendelea mtandaoni maisha ya Magu yanamchanganya hana muda na maisha ya Mange ndo nikajua kichaa si lazma avue nguo
 
Magrup ya limbwata ndo yananiachaga hoi promo zake sasa,hapo ana magrup matatu ya limbwata kiwango tofauti cha pesa. Jaman ingekua limbwata linafanya kaz sidhan kama angekua anategemea matangazo na pesa za lulu,wizi mtupumtupu


picha zinaeditiwa hadi zinapoteza kidot cha kwenye komwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] boss wake yule mbona anamsaidia kumroga majay...
lulu wa kawaida sio mzuri wa vile zile picha zinaeditiwa haswaa...

team wema akili hawana hata kidogo..badala wapromoti application yake wao kazi matusi

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Application hali mbaya soon inazimika
 
Mange sijui kaongwa tyar kama madwani wa aridha! Kaacha kutupia vtu vya msingi sasa anaendelea na umbea wake wa zaman

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Rachel sina mpango naye, namtaka tu dadake....yule demu ni mzuri mno ila sipendi tu mkorogo wake.
 
Hajaumbuka huyo, alikuwa kaamua kujilipua tu watu tumjue zaidi.

Ni njia mpya za kutafuta mabwana, sasa akijificha mabwana watamjuaje?

Ona hata mimi nilikuwa simjui sasa nimemjua.

Lakinimi hanipati, Bi Zuhura kashaniwahi.

Mbona Ana account yake ya kweli na ina followers kibao kuliko hiyo fekero yake[emoji23][emoji23] sio kwamba watu walikua hawamjui ila kujua kua info fekero ni account yake
 
Sijawaigi kuifollow hiyo acc ya rachel aisee mpaka chagababe ametukanwa

[emoji23][emoji23] kweli tulipitwa hata mimi sikuwahi I follow hata kwenda kutizama Mara moja
 
Tusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
Nimecheka sana sijui itakuwaje mzee akijisahau InstaLive

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Huwa anatukana ndani ya ushauri,yaan anaweka post kama ushauri lakin anatukana humo humo
Hivi malkia wa kuchamba huwa anatukana? sijawahi kumshuhudia siku hizi naona yuko bize na ushirikina wa limbwata nadhani soon atakuwa mganga wa kienyeji
 
Hahaha pole aisee sipati picha ulivyoshtuka na kutetemeka
[emoji1] shoga nshaumbuka humu@Bony alinishtua wasap fasta nkaremove weee usiombe kukutwa ilikaa kama nusu saa hv...!!!ni kua makini tu usikutwe
 
Orodha ninayotaman waanikwe au waumbuke
bi chaunabe
Umbeatz
Katibu wawambea
Baby.ake
Theshadechamber
Coffee table
Kabikra wa fm
Limaolinakuusu
Dullersquare
Na wengineo,waanze kuumbuka kwanza hawa wengine wafuatie

Sasa Tesha anakosa gan? [emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji1] shoga nshaumbuka humu@Bony alinishtua wasap fasta nkaremove weee usiombe kukutwa ilikaa kama nusu saa hv...!!!ni kua makini tu usikutwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom