Hivi kwanini watanzania wanatukana sana katika social network, hivi insta za watu wa nchi nyingine nazo ni matusi tu
Ahahahhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] id mbili hazijawahi muacha mtu salama
Sanaaa ndio kilichomkutaAiseee basi kujichanganya rahisi mno
Labda nae ana id mbili ujueOna unavyojiumbua zaidi mkuu,umejiunga march 2017 halafu unajiita mkongwe humu au umesahau upon kwa ka ID ka new generation?
bae na ww umo eehHuenda labda wanashea Bwana....mjini hapa
Ni kama huyu cocochannel ambaye ni lemutuz au bashite
Mleta mada u jinsia gani?? Km mwanaume, pole zao wazazi wako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
We Mama weeewe em kua mpole bas
so what?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!Tusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?Hawezi mzidi. Mange ni balaa nyingine sema uzuri hajifichi
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?
yaani na ana mdomo mchafu yule dada...!!Magrup ya limbwata ndo yananiachaga hoi promo zake sasa,hapo ana magrup matatu ya limbwata kiwango tofauti cha pesa. Jaman ingekua limbwata linafanya kaz sidhan kama angekua anategemea matangazo na pesa za lulu,wizi mtupumtupu
picha zinaeditiwa hadi zinapoteza kidot cha kwenye komwe
Application hali mbaya soon inazimika