Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

haya yana tija gani kwa taifa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini watanzania wanatukana sana katika social network, hivi insta za watu wa nchi nyingine nazo ni matusi tu
35208186142d5705c252741c8a79fcda.jpg
Asee kama huyu dada Recho sijui Alizid
 
Mleta mada u jinsia gani?? Km mwanaume, pole zao wazazi wako.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
nilikuwa naambiwa wanawake wambeya sikuwa naamini, lakini leo ndio naamini wanawake ni wambea, na huko salon watakuwa wanaongea mengi sana. wana siri nzito mno wamiliki wa salon. leo ndio nazidi kuthibitisha kuwa sisi wanaume tumewazidi wanawake akili mbali sana na hawatakuja kutufikia hata wakipigania usawa namna gani. akili za wanawake ni ndogo sana. wasengenyaji, wambeaaaa, lakini ndo maana mnaitwa wanawake. ndo maana mtu akikutukana kuwa wewe ni kama mwanamke aisee itabidi ujisikie vibaya sana.
 
Kweli ni vigumu sana kuwatenga wanawake na ushangingi vidume vinanyapia kimyakimya haya endeleeni na kongamamo lenu
 
Tusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani!

Hawa watu wanakua mwili tu, Shame!
 
Hawezi mzidi. Mange ni balaa nyingine sema uzuri hajifichi

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?
 
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?

Uyo alojificha kafichuliwa [emoji23][emoji23][emoji23] sahizi hana hata hamu na mitandao alikua akipost kila saa mpaka kwenye page yake ya kweli nayo kaikimbia
 
Magrup ya limbwata ndo yananiachaga hoi promo zake sasa,hapo ana magrup matatu ya limbwata kiwango tofauti cha pesa. Jaman ingekua limbwata linafanya kaz sidhan kama angekua anategemea matangazo na pesa za lulu,wizi mtupumtupu


picha zinaeditiwa hadi zinapoteza kidot cha kwenye komwe

Application hali mbaya soon inazimika
yaani na ana mdomo mchafu yule dada...!!
hilo limbwata lao ni usanii mtupu!!na wajinga ndo wanaingia
 
Back
Top Bottom