Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Wahenga waliosema wajinga ndio waliwao hawakukosea,yaan wadada wengi wanatapeliwa hapo kwenye magrup
yaani na ana mdomo mchafu yule dada...!!
hilo limbwata lao ni usanii mtupu!!na wajinga ndo wanaingia
Haya ka simu kamepona nimepata picha ya boss wake kabla ya kupitia kwenye editing
 
True fact. Bongo hawez kanyaga kwa uhuru
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?
 
Wamfunge tu, mi sielewi kwanini watu wanatukana wenzao, watukanaji wote wakipatikana wafungwe tu.
 
akakojoe alale mwathirika mkubwa yuleeee

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Huyu rachel alikuwa anatukana anatukana mpaka watu waliokufa yaani siku niliamua kumunfollow alipomtukana dada mmoja maskini alikufa kisa alikuwa timu wema toka siku hiyo nilisema huyu dada atakuja umbuka vibaya sana leo mungu kalipa dub hata ni utimu bongo mmezidi
 
Rachel ana mitusi huyu..huyu binti nilishawahi kumwambia wewe ni Rachel enzi hizo za semausikikeoriginal likaishia kunblock yaani wamfunge tu juzi alimtuka Sakina wa Clouds kama hana akili nzuri..! shenzyy zako tempestitousily ndo linajiitag hivi kwenye account yake og.
 
Samahani Jaman! Ckusoma Vzr Maandish Mlangoni, Kumbe Hk Chumba Cha Madem, Ila Najua Wakna Kadinda Hawawez Kukosa Hapa. Kila La Heri
 
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?
Nikisema hajifichi nadhani nipo clear.
Hajifichi nikimaanisha yeye anatukana na anajulikana katukana na mtukanaji ni yeye. Tofauti na Recho anatumia account fake isiyomtambulisha mtukanaji ni yeye.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Haa basi pole yake

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Samahani Jaman! Ckusoma Vzr Maandish Mlangoni, Kumbe Hk Chumba Cha Madem, Ila Najua Wakna Kadinda Hawawez Kukosa Hapa. Kila La Heri
Mbona hata mwandiko wako unafanania huku??

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Mkiletewa umbea mnakalisha tako mnausoma weee mkishamaliza mnaanza shobo aisee wanaume wa siku hizi majanga
[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Wamesoma page kwa page kwa makini. Halafu wanaona aibu kuchangia

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia views wengi kweli(wakaka na wababa hao) ila comment chache halafu za kusimanga wakat wamefaid vya kutosha
[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Wamesoma page kwa page kwa makini. Halafu wanaona aibu kuchangia

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…