Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ka simu kamepona nimepata picha ya boss wake kabla ya kupitia kwenye editingyaani na ana mdomo mchafu yule dada...!!
hilo limbwata lao ni usanii mtupu!!na wajinga ndo wanaingia
Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?
Wamfunge tu, mi sielewi kwanini watu wanatukana wenzao, watukanaji wote wakipatikana wafungwe tu.mimi nilikuwa siamini kama ni Recho,yale matusi ya uswahilini kabisa-kafanya mistake technology imemuumbua-my main worry is kuna watu mbadala hawausiki kawatukana sana-wapi ataficha sura yake na je na hizi sheria za mitandao will she walk away scot free?? I feel sorry for her
Anajidai kumuita wolper cuzoo kumbe anamla kisogo[emoji23][emoji23]Katukana mpaka watu wake wa karibu huyo rachel jamaan leo ndio wanashangaa kumbe rafiki yetu ndio anatutukana kila siku usiwafanyie wenzio ubaya bila sababu
Ha ha ha ha sipati picha yule mpare wa marekani alivochamba leo
amevimbaa huyoooWahenga waliosema wajinga ndio waliwao hawakukosea,yaan wadada wengi wanatapeliwa hapo kwenye magrup
Haya ka simu kamepona nimepata picha ya boss wake kabla ya kupitia kwenye editing
View attachment 540429
Nikisema hajifichi nadhani nipo clear.Hajifichi una uhakika?aje atukanie Bongo hayo matusi basi anajificha kwa kivuli cha ukimbizi!Mtu anafikia kutukana matusi mazito hadi amekua adui wa Taifa hawezi kurudi hata kwao?
Haa basi pole yakeHalafu huwezi amini huyo mapya si dada Zenat na hajawahi kukaa na Mange ila ni jamaa wa dada Zenat nilikutana msibani na huyo Zenat jina lake halisi ni Asha hajui hata kinachoendelea mtandaoni maisha ya Magu yanamchanganya hana muda na maisha ya Mange ndo nikajua kichaa si lazma avue nguo
Mbona hata mwandiko wako unafanania huku??Samahani Jaman! Ckusoma Vzr Maandish Mlangoni, Kumbe Hk Chumba Cha Madem, Ila Najua Wakna Kadinda Hawawez Kukosa Hapa. Kila La Heri
ndo mm skhu aka skhumbuzo.....Hee wacha utan ndo wewe huyo niliemjibu au?daah siamin ujue nakufananisha na skhu😀😀
[emoji108] [emoji108] [emoji108]Mkiletewa umbea mnakalisha tako mnausoma weee mkishamaliza mnaanza shobo aisee wanaume wa siku hizi majanga
HahhhhàhahaNimekuja kuangalia tu kama uko salama...
[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Wamesoma page kwa page kwa makini. Halafu wanaona aibu kuchangia
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
ndo mm skhu aka skhumbuzo.....
tehteh ujan mc?
so what?